Pre GE2025 ARU Makonda: Wapenzi (couple) watakaopendeza kesho Machi 8 Arusha kupata zawadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,498
7,058
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema wapenzi (couple) itakayopendeza kesho katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake itapewa zawadi maalumu.

Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 7, 2025 alipokuwa akikagua eneo ambalo nyama choma italiwa bure kwa wakazi wa Arusha kuelekea maadhimisho hayo, ambayo kitaifa yanafanyika jijini humo.

Pia, Makonda amesema mgeni rasmi wa siku hiyo atakuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Soma, Pia
 
Bashite amekuja kushusha hadhi ya jiji letu pendwa
 
Haaaaahaaaaa

Hiyo nzuri sana. Ukiweza kusaidia jamii yako hata kidogo wakapumua kwa mahangaiko hata ya siku, unakuwa umewashindia mioyo yao.

Waendelee kuzidi kuwa wabunifu hasa kuhusu mahitaji halisi ya jamii inayowazunguka na wanayoiongoza.

Asante.
 
Back
Top Bottom