Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
6,002
19,433
Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi.

Msikilize mwenyewe.
---

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema wafanyabiashara wengi wamekuwa wakitoa michango ndani ya chama bila mapenzi bali kwa hofu ya kutoingia kwenye matatizo.

Makonda amesema hayo leo Februari 09, 2024 alipozungumza na wakazi wa Makambako mkoani Njombe huku amwagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, kufanya majadiliano na wafanyabiashara nchi nzima ili kusikiliza mambo yanayowatatiza.

PIA, SOMA:

Uteuzi wa Makonda kuwa Mwenezi
Matamko na Kauli za Makonda
 
Simwelewi Makonda anachofanya. Namwona km nuru mpya inakuja tanzania. Makonda ndye rais kwa sasa.
 
Watu wapumbavu tu ndiyo wanaweza kumwona Bashite kuwa Rais wao
NIVIGUMU KUNIELEWA NDIVYO ILIVYO WATZ WENGI WANAPENDA KIONGOZ MKALI NA MWENYE MSIMAMO MKALI NA MWENYE UTATUZI WA JAMBO TIT 4 TAT NA CYO LONGOLONGO KM HAO WENGNE.BASHITE LUKUVI HAO NDYO WANAOFAA.JAPO TUNAHITAJI TAASISI IMARA NA WALA C MTU IMARA.MTU ANAPITA LAKIN TAASIS ITADUMU MILELE
 
Sure, well said...
 
Katibu mwenezi wa CCM komredi Makonda amesema Wafanyabiashara Wengi wanachangia CCM siyo kwa sababu Wanakipenda sana bali Wana Hofu Wasipochanga wataletewa TRA Polisi Takukuru nk wawashughulikie

Nawatakia Sabato Njema 😀
 
NIVIGUMU KUNIELEWA NDIVYO ILIVYO WATZ WENGI WANAPENDA KIONGOZ MKALI NA MWENYE MSIMAMO MKALI NA MWENYE UTATUZI WA JAMBO TIT 4 TAT NA CYO LONGOLONGO KM HAO WENGNE.BASHITE LUKUVI HAO NDYO WANAOFAA.JAPO TUNAHITAJI TAASISI IMARA NA WALA C MTU IMARA.MTU ANAPITA LAKIN TAASIS ITADUMU MILELE
Duu umenikumbusha lizee fisadi laana Lukuvi
Lilifika Dodoma Nkuhungu broad acre likasema hati zawatu za kurenew zikafungie maandazi kumbe limejipanga na Mkurugenzi wa Jiji Mafuru kuwaibia watu maeneo Yao

Tunaapa hii laana itawala mpaka vizazivyao
 
Back
Top Bottom