MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,164
Kwani taarifa ya habari imeisha?Naona ITV hawarushi kabisa habari za RC Paul Makonda (Daudi Albert Bashite) kwa muda mrefu sasa.
Hata Anniversary ya Mwaka mmoja ya RC leo hawakuwa live na zaidi ya hapo kwenye taarifa yao ya Habari ya saa 2 usiku hivi sasa hii habari haipo kwenye list ya habari zitakazosomwa.
Mwenye kujua atujuze source ya msigano huu tafadhali.
Taarifa ya habari haijaisha na hiyo habari haitakuwepo.Kwani taarifa ya habari imeisha?
mkuu kafanya nini tena.Ayubu Rioba ..leo katia aibu
kafanya nini tena mkuuAyubu Rioba ..leo katia aibu
Hahahahaaaaaa hahaahaHawajui watumie jina lipi,kati ya Makonda au Bashite.
Ni gharama kurusha bunge live.. Lakini anameweza kurusha live bashite anniversarymkuu kafanya nini tena.
Ni gharama kurusha bunge live.. Lakini anameweza kurusha live bashite anniversarymkuu kafanya nini tena.