Kama siyo nyoka utatoka kipanya panya lakini kama wewe ni nyoka lazima utatoka kinyoka nyoka. Hizi ni tuhuma tu. Kwanini watu waanze kubweka bweka wakati picha ndiyo linaanza.Tatizo unaweza kumwagia mafuta kwenye shimo lenye panya na wadudu wengine huku ukiwa na lengo la kuua nyoka.
Hawa akina Mbowe, Manji wasikutie hofu ni wadogo sana. Watanywea sio muda mrefu. Wanapiga kelele tu kama kuku awikae ndani ya kichanja akisubiri kuchinjwa.sasa Makonda yeye hajamwaga mafuta ya taa bali ameingiza kichwa chake kwenye shimo la nyoka.
Hawa akina Mbowe, Manji hasikutie hofu ni wadogo sana. Watanywea sio muda mrefu. Wanapiga kelele tu kama kuku awikae ndani ya kichanja akisubiri kuchinjwa.
Nyoka lazima watoke wote kwenye mashimo. Tayari tumeanza kuwaona hii vita ukikaa nyuma sisi tunasonga mbele wala hatukuhitaji wewe.Majizi ya CCM hayawezi kuleta mafanikio yoyote nchi hii. Iwe ajira, iwe vita dhidi ya illicit drugs au elimu.
Wameshindwa hayo kwa miaka zaidi ya 40.
CCM ni kichwa cha mwendawazimu.
Kujipa hope chini ya serikali ya CCM ni ujuha.
Andika kwa mwandiko mzuri naona unahasira sana.WEWE BWANA ACHA HIZI,,HIZI KUKURU KAKARA ZA KUTAFUTA KIKI NA KUPOTEZA MALENGO YA NJAA , UCHUMI KUYUMBA, KUKOSA AJIRA , VIWANDA HEWA...MNAPOTEZA MALENGO KWA NJIA ZA KIZAMANI KABISA ZA KUINGILIA UHURU WA RAIA NA KUKASHIF WATU WASIO HUSIKA KABISA NA HAYO MADAWA.
HEBU TUELEZENI TANGU OPERATION MUMEKAMATA MAGUNIA MANGAPI YA COCAINE AU HEROINE ? MSOKOTO WA BANGI ? BANGI SI INAPANDWA HAPA HAPA ?
HAKUNA CHOCHOTE UNAFANYA OPERATION UNAWAITA WATU NA LIST YA KIKARATASI KIMEANDIKWA KWA MKONO HATA MAJINA HUYAJUI UNAANDIKA TU ANNAEL WA MAKONDA !! SOTE TUNAKATAA MADAWA , WENGI WANAKAMATWA HUKO NJEE NA KUFUNGWA ..NA WAMEKAMATWA NAYO... SIO KWA KUITWA POLISI NJOO HUKU UUNAUZA UNGA !
WANGAPI WAMEKAMATWA PALE AIRPOT ..NA WANGAPI KESI ZAO ZIMEISHA..? KWA NINI AIRPORT MADAWA YANA PITA KIULAINI LAKINI KWA NINI HAJAENDA PALE NA KUKAMATA KILE KIKOSI KIZIMA CHA SCANNING NA CHA MBWA?
WASIKUSHUGHULISHE...
HII NI OPERATION CHAFUA WATU NA KUPOTEZA MALENGO. NA MAKONDA HAWEZI KUWA MSAFI ANA SHUTUMA AMBAZO HAJAZIJIBU NA ZA KWELI KUHUSU SAFARI ZAKE KUFADHILIWA NA MAFISADI..KWA NINI HATAKI KUJIBU NA KUWEKA SAWA ?
ANASEMA ATI MADAWA YANA TUPWA BAHARINI NA MAPIPA KUWEKWA GPS ILI KUYAFATA KWA MABOTI...BASI WAKOJANI WALE WA PEMBA WALOZAGAA BAHARINI KUVUA WANGEFAIDI KUOKOTA MAPIPA HAYO....
ANALETA HADITHI YA MOVIE YA BAD BOYS KWENYE MAMBO MUHIMU ....ALOCHONGEA NI MOVIE NA WAANDISHI WAMEKAA KUCHEKA TU.
TUWE SERIOUS..KIDOGO
Nyoka lazima watoke wote kwenye mashimo. Tayari tumeanza kuwaona hii vita ukikaa nyuma sisi tunasonga mbele wala hatukuhitaji wewe.
sasa Makonda yeye hajamwaga mafuta ya taa bali ameingiza kichwa chake kwenye shimo la nyoka.
Kabisa...kuna majina yanatetemesha sana kuyasikia rasmiHawa akina Mbowe, Manji hasikutie hofu ni wadogo sana. Watanywea sio muda mrefu. Wanapiga kelele tu kama kuku awikae ndani ya kichanja akisubiri kuchinjwa.
safi mkuuKwamba kajaribu kwa kuweka mKono hahahaaha
Honey moon inaendaje mkuu
Unajua vita wewe zaidi ya pumba unazoandika jukwaa la Kenya?Nyoka lazima watoke wote kwenye mashimo. Tayari tumeanza kuwaona hii vita ukikaa nyuma sisi tunasonga mbele wala hatukuhitaji wewe.
Hakuna aliyekaa juu ya shimo. Uzuri wewe peleka ushahidi tu. Kama mbwai ni mbwai tu hakuna huruma tena.
Haya ni mafuta ya taa ndugu lazima watoke kwa kasi sana wakikaa kwenye mashimo joto lake wataliona. Tayari wengine walishaanza kujihami kiaina. Wewe subiri part III.Ukimwagia mafuta kwenye shimo kila aina ya nyoka wataanza kutoka!
Sio kweli wala si sahihi, inategemea aina ya mafuta utakayomwagia kwenye hilo shimo. Ukimwagia mafuta ya Alzeti basi nyoka watazidi kunenepeana tu usitarajie kupata hata kijusi zaidi ya majongoo yasiokuwa na macho tu.Danganya toto, ni moto wa kifuu tu!