VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Mzee Tupatupa kwa jinsi unavyowapa vidonge lumumba wenzako jiandae kuundiwa zengwe la kufukuzwa uanachamaFanya hivi: pokea nyaraka za kimahakama zinazobeba malalamiko ya Mbowe kwenye kesi yake ya kikatiba. Halafu,tokeza mahakamani na ushiriki kwenye kesi yako.
Kaoneshe,kimahakama na kisheria,jinsi ulivyo na nguvu ya kuwatangaza wahalifu,kuwaita polisi na kuwasweka wananchi na viongozi rumande. Kalinde vifungu vinavyopingwa kwakuwa ndivyo vinavyokupa nguvu uliyonayo
Nimeambiwa kuwa leo Mbowe anatamba peke yake Mahakama Kuu. Wewe Makonda,Sirro na Wambura hampo. Kwa upande wa Walalamikiwa wote,yupo Mwanasheria Mkuu tu.
Hakuna haja ya kukimbia,mnapaswa kukimbilia.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Wamesahau kuwa daima muosha uoshwa piaWanaona aibu kwenda mahakamani......inabidi wajifiche tu. Pia nashauri (if possible) wapimwe if they are well mentally. Who knows?
Inatia ukakasi wao wanasisitiza watu watii utawala wa sheria lakini wao wanakuwa wakwanza kukaidi hizo sheria. Hii ndiyo tatizo ya damb ass leaders wanaodhani wako superior kumbe superiority yao wamejenga kwenye misingi ya inferiority complex.
Fanya hivi: pokea nyaraka za kimahakama zinazobeba malalamiko ya Mbowe kwenye kesi yake ya kikatiba. Halafu,tokeza mahakamani na ushiriki kwenye kesi yako.
Kaoneshe,kimahakama na kisheria,jinsi ulivyo na nguvu ya kuwatangaza wahalifu,kuwaita polisi na kuwasweka wananchi na viongozi rumande. Kalinde vifungu vinavyopingwa kwakuwa ndivyo vinavyokupa nguvu uliyonayo
Nimeambiwa kuwa leo Mbowe anatamba peke yake Mahakama Kuu. Wewe Makonda,Sirro na Wambura hampo. Kwa upande wa Walalamikiwa wote,yupo Mwanasheria Mkuu tu.
Hakuna haja ya kukimbia,mnapaswa kukimbilia.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Aende ili ageuke kituko cha kujibu (Sijui) na (Hapana) mana ni mweupe kwa kichwa alizunguka mbuyu mtihani wa kidato
Wao huwa wanawaambia watu watii sheria bila shuruti sasa hiki ni kipimo kikubwa sana kwao.Wanaona aibu kwenda mahakamani......inabidi wajifiche tu. Pia nashauri (if possible) wapimwe if they are well mentally. Who knows?
Inatia ukakasi wao wanasisitiza watu watii utawala wa sheria lakini wao wanakuwa wakwanza kukaidi hizo sheria. Hii ndiyo tatizo ya damb ass leaders wanaodhani wako superior kumbe superiority yao wamejenga kwenye misingi ya inferiority complex.
Yes bredren, you don't need to work at NASA to understand that. Hao wanaojiita Makondakta na sijui Zirro hawana weledi kwenye nafasi walizopewa wasimamie. Pengine kwasababu ya njaa......wanawaza mishahara zaidi.Wao huwa wanawaambia watu watii sheria bila shuruti sasa hiki ni kipimo kikubwa sana kwao.
Hii kutokutokea tu imeonyesha hawa ndiyo wavunja sheria wakuu.
Mkuu tujuze juu ya sakata la hayo majina ili tupate pa kuanziaLabda anahofia ataambiwa kwa majina ya PAUL na DAVID anaapa kwa lipi? Hatoulizwa vyeti vya secondary,aende tu
Walidhani wao ndio kila kitu hapa tanganyikaNaliona anguko la mnara wa Babeli kwa mara ya pili.....
Hivi siro anaweza kuwekwa mahabusu kweli mbona tunadanganyana hapamakonda na sirro waanza kujificha kukimbia kunyea debe. yule kondakta akiwekwa kwenye mahabusu wanaeza wakala mswambanda