Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,025
- 14,223
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa.
Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha ziara yake iliyobakiza mikoa miwili kuwa, Mzee Lowassa ametoa mchango mkubwa kwa Chadema hivyo ni wakati sasa wa kuenzi mema aliyokitendea chama hicho.
Lowassa ametoa mchango mkubwa kwenu hasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hivyo naowaomba Chadema kusitisha shughuli zenu za kisiasa ili kushiriki mazishi ya Lowasa na msiba ukiisha tutarudi tena vitani.
Credit - CloudsTv