ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Sasa MTUKUFU MTAKATIFU makonda,kwa hiyo what do those rich men get in return? umesahau msemo wa JK ya kwamba ukitaka ule sharti uliwe? yaani wanatoa mamilioni tuuuuuu for free au baadaye wanaingiza makontena bure bila kulipa kwa kutoa vi peanuts vya milioni 420????
Huo ni mfano,swali ni kwamba hao matajiri wanatarajia favours za aina gani?? mbaya zaidi anasema matajiri lakini mahela yake yote ni tajirimmoja tu GSM...bora angekuwa anafanya hata fundraising, something is fishy hapa.Kuingiza Makontena Makonda hatahusika..... TRA ndiyo watakua wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
exactly lakini yeye anataka tumuone bonge la mjanja kwamba wanatoa hela zao burebure sababu anajua kuwapiga soundLazima kuna namna ambayo anawalipa
enheeee!Atakua anawalipa tu,ukizingatia zile tetesi kua......
Sijui ushamba,sijui ni ukosefu wa elimu,jama wanachokifanya GSM ni kitu kinaitwa corporate social responsility,hawatoi msaada ili eti makontena yapite bandarini,makonda sio waziri wa fedha au mkuu wa TRA,,
Cant you get it you peasant?,
makampuni makubwa mengi duniani yanafanya hii kitu,wala si kitu cha ajabu sema kukulia vijijini,kutokuwa na exposure ,ushamba na ukosefu wa elimu ndo unasumbua hapa
Ha haha,naona peasant wa kwanza huyu kajitokeza na mapovu kibao,
ZE NDINDINDI kama we ni wa rular area hamna haja ya kupanick mkuu,hayo ni maisha tu,mkuu,
sasa kuonyesha ulivyo peasant unadai home shopping ilifirisika,
nani kakuambia hivyo ewe mkulima?
Can you make connection kati ya makonda,GSM na TRA?
If you aint talking out of your a*s?
I say it is social responsibility kama una evidence contrary to that fact,,isokay,,but you have to put it here so we can see or shut up your piehole