Nimeamini mdomo kiwanda cha maneno
Elimu huongeza busara
Kulikuwa na haja gani ya kusema wazazi wake hawana elimu?
Kwambababa yake hakusoma kabisa na mama yake ni darasa la saba B
Lengo lilikuwa nini kama sio kuwadhalilisha?kwa dunia ya leo kujisifu kuwa mzazi wako hajui kusom wala kuandika ni kiti cha kustaajabisha.
Hiii inaonyesha familia haina mwamko wa elimu na uhenda madai ya watu kuwa Elimu yake ina utata ikawani tuhuma za kweli
Makonda achunge mdomo wake
Apewe kitabu cha Zaburi kilichopo kwenye biblia asome chote kwa utulivu na kuelewa kila aya.Atapata msaada wa kiroho na akili kupata uchangamfu.Nimeamini mdomo kiwanda cha maneno
Elimu huongeza busara
Kulikuwa na haja gani ya kusema wazazi wake hawana elimu?
Kwambababa yake hakusoma kabisa na mama yake ni darasa la saba B
Lengo lilikuwa nini kama sio kuwadhalilisha?kwa dunia ya leo kujisifu kuwa mzazi wako hajui kusom wala kuandika ni kiti cha kustaajabisha.
Hiii inaonyesha familia haina mwamko wa elimu na uhenda madai ya watu kuwa Elimu yake ina utata ikawani tuhuma za kweli
Makonda achunge mdomo wake
Huu ni ugomvi sasa.Unataka aanze kwenda makanisani kujiliza?Mzee Makonda au Mzee Bashite ?😏
Huo ndio ujinga wa watanzania,tunapenda unyonge sana,ina wanasiasa wamelijua hilo,ho ni pepo la umasikini kwa sisi watanzaniaHiyo ni kujishusha ili aonekane ni wa kawaida na myonge anaewakilisha na kutetea maslahi ya wanyonge wengi tabaka la chini