mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,172
- 49,676
Nimeamini mdomo kiwanda cha maneno
Elimu huongeza busara
Kulikuwa na haja gani ya kusema wazazi wake hawana elimu?
Kwambababa yake hakusoma kabisa na mama yake ni darasa la saba B
Lengo lilikuwa nini kama sio kuwadhalilisha?kwa dunia ya leo kujisifu kuwa mzazi wako hajui kusom wala kuandika ni kiti cha kustaajabisha.
Hiii inaonyesha familia haina mwamko wa elimu na uhenda madai ya watu kuwa Elimu yake ina utata ikawani tuhuma za kweli
Makonda achunge mdomo wake
Tangu atoe kauli hiyo mzee Bashite hajatoka ndani akihofia kuzomewa maana anamiliki simu kubwa ya touch wakati hawezi kusoma aeiou