Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,748
- 30,647
Mungu hamwachi mtu wake
Poleni sana wafiwa wote na wana CCM wenzangu
Nimewaza nkasema bado tuna kijana mdogo mwenye kutufikisha mbali kama sio kaanani
CCM kwa heshima na taadhima tunaomba mh makonda ajaribu tena baahati yake kugombea kigamboni
All d best
Mungu ibariki Tanzania na Kigamboni wote
PIA SOMA
- Uchaguzi 2020 - Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020