LUKA 5: 31
Yesu akajibu akawaambia,wenye afya hawana
haja na tabibu,isipokuwa walio hawawezi.
Nchi hii inaumwa sana na inatakiwa tiba
japo ukweli unaposemwa huwa daima
unageuzwa Siasa kwa maslahi ya walio
wachache.
Suala la Gesi kila uchao Serikali imekuwa
na kigugumizi kusikiliza Wananchi.
mwisho utakuwa mbaya sana jamani.