Makao Makuu ya Tigo yapo wapi kwa hapa Dar?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,947
3,083
Nataka niende hukohuko labda tutaelewana vizuri, tokea jumatatu nilituma milioni 3 na laki 2 kwenda account ya bank mpaka Leo haijafika, niliwapigia jumanne wakaniambia kuna shida ya mtandao muamala upo hewani nisubiri ndani ya masaa72 hela itarudi kwenye tigopesa na kama isiporudi itaenda kwenye akaunt ya bank nilipokua naituma, sasa masaa 72 yamepita na hela haijafika nilipokua naituma na kwangu haijarudi kwa maana hiyo muamala wa tigopesa bado unavinjari hewani kama mwewe!

Nimepiga sana 100 ndio hata huduma kwa wateja siwapati, nmepita kwenye page Yao Instagram naona kumbe sipo mwenyewe watu wengi wanadai hela zao tokea majuzi hazijarud na wala hazijaenda zilipokua zinatumwa, wengine nimeona wamepanic wanatukana matusi ya nguoni, wengine wanalalamika hela ilikua ya matibabu inakuaje muamala ukae hewani siku zote hizo?

Hivi kwanini kama mtandao unasumbua hela isingerudi siku ileile? Na kwanini wanakata kabisa Ada ya kutuma ilihali wanajua hela haitafika inapotumwa?

Mpaka asubuhi hela isiporud na isipofika nilipokua naituma nadhani kesho inabidi nikawachangamshe kidogo huko ofisini kwao!

Na yalivyo majinga yamepiga kimya hata kuomba radhi au kusema nini shida na vipi kuhusu miamala ya watu iliopotelea hewani.

Kama mtu unahela nying huwez kuweka bank basi Mpesa naona ndio sehemu Sahihi hawa wengine kama Tigo ni matapeli Tu wanakwamisha mipango ya watu
 
Nataka niende hukohuko labda tutaelewana vizuri, tokea jumatatu nilituma milioni 3 na laki 2 kwenda account ya bank mpaka Leo haijafika, niliwapigia jumanne wakaniambia kuna shida ya mtandao...
Huo mtandao sijui waliwaroga!? Net inasumbua, msg unatuma muda huu inafika baafa ya masaa sita! Tigopesa ndo kama hivyo lakini mnakomaa nao tu! Nilishatupa takataka yao (line) kitambo sana.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Najuta kabisa yani
 
Naona watu wanalalamika Tu hamna ufumbuzi
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-26-19-48-25-071_com.instagram.android-edit.jpg
    Screenshot_2024-07-26-19-48-25-071_com.instagram.android-edit.jpg
    66.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-07-26-19-47-18-940_com.instagram.android-edit.jpg
    Screenshot_2024-07-26-19-47-18-940_com.instagram.android-edit.jpg
    349.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-07-26-19-46-32-282_com.instagram.android-edit.jpg
    Screenshot_2024-07-26-19-46-32-282_com.instagram.android-edit.jpg
    395.7 KB · Views: 4
Nataka niende hukohuko labda tutaelewana vizuri, tokea jumatatu nilituma milioni 3 na laki 2 kwenda account ya bank mpaka Leo haijafika, niliwapigia jumanne wakaniambia kuna shida ya mtandao muamala upo hewani nisubiri ndani ya masaa72 hela itarudi kwenye tigopesa na kama isiporudi itaenda kwenye akaunt ya bank nilipokua naituma, sasa masaa 72 yamepita na hela haijafika nilipokua naituma na kwangu haijarudi kwa maana hiyo muamala wa tigopesa bado unavinjari hewani kama mwewe!

Nimepiga sana 100 ndio hata huduma kwa wateja siwapati, nmepita kwenye page Yao Instagram naona kumbe sipo mwenyewe watu wengi wanadai hela zao tokea majuzi hazijarud na wala hazijaenda zilipokua zinatumwa, wengine nimeona wamepanic wanatukana matusi ya nguoni, wengine wanalalamika hela ilikua ya matibabu inakuaje muamala ukae hewani siku zote hizo?

Hivi kwanini kama mtandao unasumbua hela isingerudi siku ileile? Na kwanini wanakata kabisa Ada ya kutuma ilihali wanajua hela haitafika inapotumwa?

Mpaka asubuhi hela isiporud na isipofika nilipokua naituma nadhani kesho inabidi nikawachangamshe kidogo huko ofisini kwao!

Na yalivyo majinga yamepiga kimya hata kuomba radhi au kusema nini shida na vipi kuhusu miamala ya watu iliopotelea hewani.

Kama mtu unahela nying huwez kuweka bank basi Mpesa naona ndio sehemu Sahihi hawa wengine kama Tigo ni matapeli Tu wanakwamisha mipango ya watu
Oya mtupumzishe basi. Yaani HQ ya tigo ndio uanzishe uzi?
We huna ndugu, jamaa, marafiki wanaojua? Nonetheless, una akili ya kuanzisha uzi lakini huna akili ya kugoogle kujua location ya tigo HQ. Pathetic.
 
Back
Top Bottom