Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la mawaziri

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo April 04,2016 Ikulu Dar es salaam.
 
Duh! Hii kweli ni Awamu ya Tano. Nafikiri Mzee Bilal hakuwahi kufanya kitu kama hiki katika kipindi chake.
 
4.4.2014?????????????¿¿¿???


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo April 04,2014 Ikulu Dar es salaam.
 



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo April 04,2014 Ikulu Dar es salaam.
Inatuhusu nini sisi?
 
Unataka kutuambia kipindi chote cha tezi dume vikao havikufanyika?
Muulize Membe safari za waziri wa mambo ya nje alikuwa anakwenda nani? Wewe kumbe hukuwahi kumjuwa Mkwele.

Mkwele alifanya teuzi mpaka siku moja kabla ya Magufuli kuapishwa, sasa hivi anavyoabishwa ni haki yake kabisa.
 
Mbona kiti cha Dr Shein hakijakaliwa na mtu?

Kwa kuwa kwa mujibu wa katiba yetu ya nchi, Rais wa Zanzibar pia ni mjumbe wa Baraza la mawaziri.

Inaelekea kibano cha MCC, kimeanza kumtikisa Magu, kiasi ambacho anaona 'noma' kumpa mwaliko Dr Shein wa kuhudhuria vikao hivyo.

Hiyo inatokana na ubatili wa uchaguzi wa marejeo wa Jecha uiiofanyika tarehe 20/03/2016.
 
Karume Jr alishakataaga ujinga huo wa kuhudhuria kikao cha baraza la mawaziri wakati yeye ni raisi.

Na kwakujibu swali lako Dr Shein hajaapishwa kuwa kwenye baraza la mawaziri hawezi kuingiamo, sijui kama utanielewa nilichoandika kama si mfuatiliaji wa mambo ya siasa zetu uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…