Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Abdulla awasili Dar akitokea Unguja

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,058
689
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameondoka Unguja na kuwasili Jijini Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi Juni 09, 2024.

IMG-20240609-WA0011.jpg
IMG-20240609-WA0010.jpg
IMG-20240609-WA0012.jpg
 
hivi ni kwa nini hawa viongozi wetu wakipanda ndege lazima makamera yawamulike? kuna nini cha ziada wakipanda ndege, mbona wakipanda boat hawamulikwi? kuna nini humo kwemye ndege?
 
Zanzibar ni kaji-eneo kadogo Sana, Ila kuna viongozi watawala wengi Sana. Sijui Kuna Rais, Makamu wa Kwanza wa Rais, Makamu wa Pili wa Rais, na wengineo wengi tu!

Hakika Katiba Mpya ni MUHIMU SANA kupatikana kwa Sasa hapa Tanzania.
Jimbo ni watu 2000, wao miradi yao utasikia pale kuna mradi wa mln 5.
 
Back
Top Bottom