Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,783
- 13,541
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
Kama uchaguzi wa Zanzibar utakuwa huru na wa haki, then huyu ndie rais wa Zanzibar 2025.Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
PWanabodi
Sauti hiyo maana yake inamaanisha ni Rais Samia yeye mwenyewe, willingly anatakiwa kujiandaa kisaikolojia kuwa ni rais wa awamu moja, na kumuandaa mtu wa kumkabidhi urais awamu yake ya pili ya miaka 5 yake iliyobakia ya 2025 - 2030!.
Kwa mujibu wa utaratibu wa CCM, hakuna mwana CCM yeyote anayeruhusiwa kùomba fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kwa pande zote mbili za muungano. Mgombea urais wa CCM kwa 2025 kwa huku bara ni rais aliyepo madarakani sasa, Rais Samia na kwa Zanzibar ni Dr. Mwinyi, kwasababu wote wiwili hii ni awamu yao ya kwanza!. Hivyo utaratibu wa CCM ni ule utaratibu wa mserereko wa kuchapisha na kutoa fomu moja tuu ya urais kwa pande zote mbili za muungano ambao kiukweli kabisa huu ni utaratibu wa zengwe!.
Kama sauti hii nilioisikia ni sauti ya kweli ya kwake YEYE, then hii inamaana, huu ni ujumbe kwa Rais Samia, ama Rais Samia yeye mwenyewe ameisha ambiwa na YEYE, ama YEYE ameanza kutuambia kwanza akina sisi wengine wa kutangazia umma ili kuanza kuwaandaa Watanzania kisaikolojia kuhusu 2025,kisha atamtaarifu mhusika mwenyewe.
Hivyo namshauri Mama kipenzi, as long as hajaambiwa, yeye aendelee tuu na maadalizi yake ya 2025 kwa kujiandaa yeye kama yeye, lakini pia afanye na maandalizi ya kisaikolojia kuisubiria hiyo sauti ya uthibitisho kuwa 2025 ni yeye Rais Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, kama ni yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye Samia!.
Lakini kama ataisikia hii sauti, sio vibaya kama atajiandaa na kumuandaa mtu wa kumpokea, kwa maoni yangu, Dr. Hussein Mwinyi atatufaa sana, hivyo namuomba Rais Samia akiisikia hii sauti, amuombe Dr. Hussein Mwinyi, kwa uchaguzi wa urais wa 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Mama Samia kwa yeye kukubali kuwa rais wa JMT kwa awamu moja tuu.
Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Hivyo hata sauti hii niliyoisikia leo, 2022, kuhusu 2025, usikute hata Mama Samia mwenyewe bado hajui kuwa 2025 sii yeye kwasababu yeye bado hajaelezwa na YEYE kuwa sio yeye, na ndio sababu ni Rais Samia ndiye aliyependekeza 2025 twende na mgombea Mwanamke kumaanisha ni yeye!.
Hili la Mwinyi kuja huku, sio la sauti, hili ni langu tuu, maana usikute pia ni mpango ya YEYE, kumfanya huyu jamaa Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii maana
wakati nikiandika hayo, Dr. Shein alikuwa hajui, hivyo hata saa hizi ninapoandika hapa, usikute huyu jamaa wala hajajijua kuwa yeye ndiye anapaswa aje awe rais ajaye wa Zanzibar!. Hii ni kufuatia dhulma kubwa iliyokuwa ikifanyika Zanzibar kwa miaka na miaka, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda lakini sasa kwavile Samia ni mpenda haki, msema haki na mtenda haki, for the first time in Zanzibar tangu baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, 1964, uchaguzi wa 2025 unaweza kuwatendea haki!.