ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,784
- 69,441
Makamu Rais wa Cuba ameanza ziara ya Kiserikali ya siku 3 Jana tarehe 23
Hapo hapo leo tarehe 24, Rais Samia ameanza ziara ndefu Nje ya Nchi akianzia Indonesia .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari, 2024.
Kana kwamba haitoshi juzi aliwasili Naibu Waziri Mkuu wa China Kwa ziara ya Siku 3 pia hapa Nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Liu Guozhong na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.
**
Swali.
Je inamaana sio Kila Kiongozi wa Nje akija Nchi halazimiki kukutana na Rais?
Hii Kwa Wataalamu wa Protokali imekaaje? Elimu Tafadhari.