Pre GE2025 Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, sheikh Kadogoo asema Lissu ni mropokaji: je, kama taifa, tuanze kumtathmini Lissu katika lolote asemalo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
16,767
28,013
Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?

Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu?

Kama chadema ina uozo, he si kweli kwamba Lissu alikuwa mshauri mkuu wa uozo huo?

Uchaguzi huu unaweza kummaliza Lissu kisiasa kuliko Mbowe, ninsuala la mtu kukaa na kumfanyia analysis tu, na kumuanika.

Nje ya tusheria anatojua, ni mweupe pee!
 
Lissu's enormous contribution to CHADEMA and this nation is so visible and astronomical. No amount of propaganda and smear campaign can ever purge out his memory from the hearts of ordinary Tanzanians.

CHADEMA strolling down 2025 without Lissu within her ranks, is like the Greeks going to war against the Trojans without Achilles.

Clearly CHADEMA falls short of prudent elders who could have addressed Mbowe's stupidity. In 2015, when Jakaya was about to make a fatal mistake with MEMBE, party elders boldly called out his stupidity and returned his in the line.

Mizee ya CHADEMA yote imekuwa michawa. Noma sana.​
 
Haya ni maneno yako, usimuwekee Kadogo mdomoni. Hakutaja mtu
Haya ni maneno yako, Kadogo haja taja jina la mtu
Usi muwekee maneno mdomoni
 
Kabisa, Lissu atakuwa ameporomoka sana kisiasa baada ya uchaguzi huu.
 
Kwahy sasa hv ndio mropokaji ila wakati anagombea urais hakuwa mropokaji πŸ™Œ
 
Sawa, ngoja niwapigie wenzangu waje na udi na ubani, baadae tumalizie na makopela, hata uende kwa Msisi hutoboi. Ukipata sana, ni 500 ya vocha kwa ajili ya bando
Kisomo Cha Tanga kimeivuruga Chadema bila kutegemea πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…