chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,761
- 28,001
Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?
Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu?
Kama chadema ina uozo, he si kweli kwamba Lissu alikuwa mshauri mkuu wa uozo huo?
Uchaguzi huu unaweza kummaliza Lissu kisiasa kuliko Mbowe, ninsuala la mtu kukaa na kumfanyia analysis tu, na kumuanika.
Nje ya tusheria anatojua, ni mweupe pee!