MAKAMPUNI YANAYOONGOZA KWA UZALISHAJI WA SILAHA DUNIANI

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
749
2,533
1000136085.jpg

Eti MTU Anaota kuanguka kwa Marekani.

Wake up from the Slamber
 
Hayo ma L.M ni balaa sana yamewekeza vibaya kwenye Research and Development yana ma project hadi ya 2050 huko yana experts kutoka kila pande ya dunia, wakati wengine hata kutengeneza capacitor tu yenye 0.001μF bila bila baba.
 
Tutajie hata faida moja tu ya msingi kwa Afrika kwa makampuni hayo kuzalisha kwa wingi sana silaha zaidi ya maumivu tuyapatayo kwa kugombanishwa wenyewe kwa wenyewe kwa faida yao wamarekani?
Silaha zinazotumika kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Afrika hutoka Urusi na China.
 
Hizo silaha zitokazo china na Urusi hupewa serikali halali zilizo mamlakani, ila makundi ya wahuni Hupewa silaha na western kuvuruga utulivu ili kupora rasilimali za eneo husika kwakuwa serikali kuu zinakuwa hazitawali eneo hilo, fuatilia maeneo yote ya migogoro barani afrika na middle East!!
 
Lockheed Martin hawatengenezi silaha ndogo ndogo kama rifles na grenades zinazotumiwa na rebels
 
Bali hus-sponsor viwanda vidogo vidogo vya nchini mwao kutengeneza rifles na granades mwisho wa siku zinatumwa afrika kwa maslahi yao hao hao majangili makubwa...
 
Hizo silaha zitokazo china na Urusi hupewa serikali halali zilizo mamlakani, ila makundi ya wahuni Hupewa silaha na western kuvuruga utulivu ili kupora rasilimali za eneo husika kwakuwa serikali kuu zinakuwa hazitawali eneo hilo, fuatilia maeneo yote ya migogoro barani afrika na middle East!!
Ngumu sana kukuta waasi na vitu vya gharama kwanza wengi wao chunguza kwanzia rifle ni ma AK, Granade ni ma F1 ya jamaa wale.
 
Pamoja na yote lkn watalaban waliweza kuwakimbiza Afghanistan na kuacha silaha kibao kwenye mitaa ya Jalalabad,Torabora,Kandahar na Mazar e sharif
 
Ndio maana Marekani anahakikisha dunia haina amani ili auze silaha bila hivyo U.S Military Industrial Complex ingekufa

By the way U.S bombs China builds

20241205_212345.jpg
 
Back
Top Bottom