ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 530
Ni muda muafaka sasa makamanda kuwaomba radhi Lipumba na Slaa.Mwerevu akivuliwa nguo huchutama na ni hakika Lowassa amewavua nguo makamanda.
Kipindi Lowassa amekatwa na kamati kuu ya CCM akakimbilia chadema na obviously inajulikana Lowassa ni power Monger atafanya chochote kile ili atimize adhma yake ya ukwaa urais tokea 1995 inajulikana hivyo.
Hakuna aliyekataa Lowassa kwenda ukawa na Chadema ila kumsimamisha Lowassa agombee urais kupitia tiketi ya ukawa walio wachache werevu walipinga wakiwemo Dr Slaa,Prof Lipumba na wanachama wachache wasiofuata mkumbo na wenye msimamo,Lowassa aliondoka ccm sababu alikatwa amejiunga Ukawa sio kama mkosoaji bali kujaribisha zari lake na akawatumia ukawa na ukawa wakatumika kweli
Prof Lipumba na DR Slaa walivyojiengua makamanda waliwakebehi viongozi hawa na Kuwaita wasaliti ,wachumia Tumbo ,na majina mengine ya kebehi kama Dr Mihogo ,propesa nakadhalika
Hebu tujiulize
What if Lowassa asingesimamishwa kuwa mgombea urais kupitia ukawa je Prof Lipumba na Dr Slaa wangejiondoa ?100% wasingerudi nyuma na naomba nikumbushe Prof Lipumba na Dr Slaa wana historia ya kuwa wapinzani kweli ,radical na kukosoa sana na wamepata kashikashi sana ,Lowassa tokea Uchaguzi uishe wapi kaonyesha sura halisi ya kuwa mpinzani ? Lipumba na Slaa walikuwa wanasimama na kusema
Nadhani rangi halisi ya Lowassa mnaanza kuiona ,Prof Lipumba na Dr Slaa waliyaona haya kitambo kuwa Lowassa ni opportunistic hakujiunga ukawa sababu ya mapenzi bali baada ya maslahi yake kufifia Ccm
Nawaomba makamanda muwaombe radhi Dr Slaa na Prof Lipumba