Hahahaa...wee utakuwa mfipa ww sasa ngoja waje wenye makabila yao...teh teh teh katirumi mkombelafudhi gani huwa unaona nzuri?
zipi unaona mbaya?
zipi zinakuchekesha?
mi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
wafipa huwa naona lafudhi yao poa.
wangoni na wamasai hunichekesha kwa lafudhi na maneno yao.
mi tanga napagawa mombasa piausiombe upate mchepuko wa kitanga nalafuzi zao unaweza ukasahau familiaaa hasaa wadigoo ninoomaa
Ukipata kishtobe wa kitanga balaa tupu shehe wangu asubuh hiyo naulizwa "wataka chapati ya ngozi ngapi?" mi nimebaki nashangaa shangaa tu chapati ina ngozi? teh teh teh Tanga Raha.....usiombe upate mchepuko wa kitanga nalafuzi zao unaweza ukasahau familiaaa hasaa wadigoo ninoomaa
Nilijua utasema tuu. Eti wachaga, roho mbayaaa kufa hufi. Wachaga wamekufanya nini? Utakufa huku unawachukia. Mtu akikuzidi usimchukie jitahidi na wewe. Kila kitu hapa tz ni wachaga kuwa hata na aibu basilafudhi nzuri ni za watu wa tanga na mbaya kuliko zote ni za wachaga na wakurya
Taja lafudhi ya kwenu tuijadili kwanzalafudhi gani huwa unaona nzuri?
zipi unaona mbaya?
zipi zinakuchekesha?
mi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
wafipa huwa naona lafudhi yao poa.
wangoni na wamasai hunichekesha kwa leafudhi na maneno yao.
Napenda ya kwakommmh tumefikia huku sasa!!!