Hii nchi ilishakuwa babeli. Kila mtu anaongea lugha yakeHabari wananzengo,
Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
Combinations zipo kwenye upande wa nani, wizara au Tamisemi?Wizara ya Elimu inahusika na sera na miongozo ya elimu TAMISEMI inahusika na mambo ya ajira za walimu na uendeshaji shule
Combinations zipo kwenye upande wa nani, wizara au Tamisemi?
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Tamisemi
Pia swali lako hajikaa vzr,nani anayeandaa Combination Mpya au nani anayetekeleza ufundishwaji wa hizo,anayendaa Wizara anaye tekeleza Kwa ufundishwaji TAMISEMCombinations zipo kwenye upande wa nani, wizara au Tamisemi?
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app