philantrhopist
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 415
- 704
Walimu wanamajukumu mengi sana ukilinganisha na wanacholipwa. Walimu wanatofautiana kuanzia msingi, sekondari, hadi vyuo. Kadri ngazi inavyoshuka ndivyo wanalemewa na majukumu.
Ualimu kwa nchi nyingine ni kazi nzuri yenye furaha na mshahara wa kutosha lakini kwa Tanzania ndio wanapata taabu. Pia wanasimamiwa na wanasiasa. Mwanasiasa ana nguvu sana licha ya wasimamizi wengine k.v wakaguzi, maafisa elimu na walimu wakuu.
Ni kazi inayotia msongo wa mawazo sana. Licha walimu wengi ni woga wa kuacha na kazi na kujiwekeza sehemu nyingine licha ya mshahara mdogo sana.
๐๐๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ฐ๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ฅ๐ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข
Kuamka saa 11na kuwahi namba,
kukimbia mchaka mchaka,
kukagua usafi wa shule na wanafunzi kwa ujumla,
kuingia darasani na kufundisha vipindi tisa kwa siku yaani hana SOMO MAALUMU anatakiwa afundishe lolote hata hana uzoefu nalo.
Kuita majina, kusahihisha madaftari 1500 kwa siku,
kufanya masahihisho,
kusimamia nidhamu ya wanafunzi kila saa darasani sio kelele, kupigana n.k
Kupewa vitu vya majaribio mf. MEWAKA yaani wao ni kama uwanja wa mpira kila linapokuja jaribio la ujinga ujinga wanajaribia huku mabosi wakipa mahela mengi.
๐๐๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐ฌ๐๐ค๐จ๐ง๐๐๐ซ๐ข
Kuamka saa 11 kuwahi kusimamia watoto usafi namba n.k,
Kuingia darasani, masomo yake ni moja au mawili na siku nyingine hana kipindi.
Kusahihisha sio lazima.
Tofauti kati ya msingi na sekondari ni kidogo yaani matatizo ni yale yale ila walimu wa sekondari wanajiamini kidogo tofauti na msingi.
Kwenye maendeleo walimu wa msingi wengi wao wana maendeleo kuliko sekondari kwa sababu wanadhaulika sana hivyo wamefokasi sana kwenye maisha kuliko sekondari walio jisahau kwa kujiona wako juu.
Walimu wa msingi hawana aibu sana kama wa sekondari hivyo wanalima bustani, wana maduka, mashine za kusaga, ufugaji wa kuku nguruwe, n.k
Kada ya ualimu ndio serikali inayopiga dana dana inavyotaka na hakuna wa kulalamika. Hivi sasa kuna kikotoo yaan pensheni unaweza kulamba m20 na ukafa kesho yake kwa stress kwa huna elimu ya pesa na hujawahi kujiwekeza hivyo m20 haitoshi kununua bati 20.
Nini kifanyike ili kada hii iwe na unafuu,
Kwanza wanasiasa wakae pembeni, wizara ya elimu ijitegemee.
Serikali iache kutia mitaala maji, yaani wakibadilisha wabadilishe kweli sio kubadili makava ya vitabu kumbe ndani ni yale yale. Watoe elimu inayomsaidia mtu na sio inayomdumaza kiakili. Wazingatie vipaji wa watu.
Kuna tunu kubwa sana taifa lakini hawatambuliki bali kuna watu wasiojiweza wapo kwenye nafasi ambazo hawaziwezi.