Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,478
- 24,348
Wapo watu wengi sana wanaoidai serekali yetu fedha nyingi sana ambazo kimsingi MALI iliyokuwa supplied haiendani na FEDHA ambazo zinatakiwa zilipwe na serekali yetu.
Wapo waliosupply kalamu na karatasi tu lakini kalamu hiyo iliandikiwa inathamani ya 2500/-,
Na rim moja ya karatasi ikaandikiwa 15000/-
Tunaiomba serekali yetu kabla ya kulipa zabuni yoyote ifanye tathimini kwanza Juu ya malipo husika.
Lisipoangaliwa vyema wajanja wengi wataibia hapa fedha za walalahoi, tunataka maendeleo ya kweli sasa mungu ametupatia rais tulie muhitaji kwa muda mrefu sana.
***Yanaweza kulingana na bajeti nzima ya serikali ya mwaka mmoja; watumbuliwe tu.
Wapo watu wengi sana wanaoidai serekali yetu fedha nyingi sana ambazo kimsingi MALI iliyokuwa supplied haiendani na FEDHA ambazo zinatakiwa zilipwe na serekali yetu.
Wapo waliosupply kalamu na karatasi tu lakini kalamu hiyo iliandikiwa inathamani ya 2500/-,
Na rim moja ya karatasi ikaandikiwa 15000/-
Tunaiomba serekali yetu kabla ya kulipa zabuni yoyote ifanye tathimini kwanza Juu ya malipo husika.
Lisipoangaliwa vyema wajanja wengi wataibia hapa fedha za walalahoi, tunataka maendeleo ya kweli sasa mungu ametupatia rais tulie muhitaji kwa muda mrefu sana.
***Bora urejee utaratibu wa miaka ya zamani ambapo vifaa vilikuwa vinanunuliwa centrally na kuwekwa bohari ya serikali halafu vinasambazwa tokea hapo kwenda kwenye sehemu husika kama mashule....
***Huko Ndiyo Kuna Matambazi Siyo Majipu
Hao Wakiguswa Utaona Misiba Mingi Watu Pressure Tele
***Sasa kama mtu amesupply hizo kalamu na karatasi toka mwaka jana mwezi kama huu na hizo hela hajalipwa wala hajui atalipwa lini!!!
Unafkiri kwani asiandike kalamu moja kwa Tsh 2500?
Peni haitafika tsh 2500 bali ile hela aliyoinunulia peni mwaka huo kama ingelipwa kwa wakati ingeweza kuzalisha zaidi ya hiyo tshs 2500. Unaponunua kwa cash na ukanunua kwa credit bei haiwezi kulingana***
hata ipite miaka 20 pen haitaweza fika tshs 2500/-(normal pen)
Wapo watu wengi sana wanaoidai serekali yetu fedha nyingi sana ambazo kimsingi MALI iliyokuwa supplied haiendani na FEDHA ambazo zinatakiwa zilipwe na serekali yetu.
Wapo waliosupply kalamu na karatasi tu lakini kalamu hiyo iliandikiwa inathamani ya 2500/-,
Na rim moja ya karatasi ikaandikiwa 15000/-
Tunaiomba serekali yetu kabla ya kulipa zabuni yoyote ifanye tathimini kwanza Juu ya malipo husika.
Lisipoangaliwa vyema wajanja wengi wataibia hapa fedha za walalahoi, tunataka maendeleo ya kweli sasa mungu ametupatia rais tulie muhitaji kwa muda mrefu sana.
***Inatakiwa ujue sheria ya manunuzi ya umma ndo uje kupiga kelele zako hapa.