Majibu ya usahili wa kada mbalimbali Tengeru Institute of community development Yalishatoka?

Wanjax jr

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
491
1,260
Habari zenu wanajamvini,

Naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali, je majibu yameshatoka toka utumishi?

Na waliofanikiwa kupata NAFASI je wameitwa kwa simu au Bado wanasubria mkeka toka utumishi watoe wenye mtu atuhabarishe kuitwa kazini tayari au Bado Maana kimya sana kweny tovuti ya sektarieti ya ajira ...usijejua labda watu walishapigiwa simu.

NAOMBA WENYE KUJUA KUHUSIANA WAAJIRIWA WAPYA CHUO CHA TENGERU WAPO TAYARI AU BADO
 
Bado maana sijasikia wala kuona tangazo la kuitwa kazini
 
Hbr zenu wanajamvini....naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali ,je majibu yameshatoka toka utumishi?? Na waliofanikiwa kupata NAFASI je wameitwa kwa simu au Bado wanasubria mkeka toka utumishi watoe ....mwenye mtu atuhabarishe kuitwa kazini tayari au Bado Maana kimya sana kweny tovuti ya sektarieti ya ajira ...usijejua labda watu walishapigiwa simu .....NAOMBA WENYE KUJUA KUHUSIANA WAAJIRIWA WAPYA CHUO CHA TENGERU WAPO TAYARI AU BADO
Jaribu kuulizia wenzio uliofanya nao kama wanataarifa yoyote
 
Bado maana sijasikia wala kuona tangazo la kuitwa kazini
Unaweza kuwa na mtu chuo Cha Tengeru hapo boss ...Nia ni kufaham Kama wameitwa au Bado unaweza jipa moyo kumbe watu walishapigiwa simu kitambo wameshaanza kazi ...ili tuendelee na harakt zetu zingne mtaani
 
Kwenye mambo ya interview usijiwekee expectation kubwa mzee ,wewe omba Mungu huku unaendelea na mishe zako
 
Nafikiri niliweka expectations sana hapa Bali ni KUJUA tu unaweza ENDELEA na harkt zako huku unajipa ka moyo labda lkn sio kivile bro ...Maana kA watu waliitwa ukisikia si basi unajua haikua bahat yako ....maisha yanaendelea tu vzr
 
kweli lakini muhimu kujua hitimisho kwasasa utumishi wanazingua aseeh
 
Hapo ndo ngumu kujua sasa
Kabisa kutokuchukua namba imekuwa shida ...lkn nilionaga placement ya chuo Cha Mocu waliofanya trh 9-12/08/2022 lkn wakatoa majina trh 20/10/2022 yaani two months and weeks passed...au shida inakuwaga kwa mwajiri anakuwa haitaji kwa haraka sana ndo yanachelewa au ni vp ...Maana niliona placement ya Ardhi university nayenywe trh 20/10/2022 lkn waliofanya usahili 3-7/10/2022 ndani ya wiki mbili wametoa majina kuitwa kazini Sasa Ardhi university Mbona walikuwa chap au mwajiri alikuwaa anashida na haraka na watu wake.. sie
 
Kutokana na uharaka wa taasisi kwamfano zile za chuo wanazisimamia wao chuo , utumishi wanakuwa waangalizi tu kama process zote zimefatwa
 
Unaweza kuwa na mtu chuo Cha Tengeru hapo boss ...Nia ni kufaham Kama wameitwa au Bado unaweza jipa moyo kumbe watu walishapigiwa simu kitambo wameshaanza kazi ...ili tuendelee na harakt zetu zingne mtaani
Sina koneksheni nao mkuu
 
Kutokana na uharaka wa taasisi kwamfano zile za chuo wanazisimamia wao chuo , utumishi wanakuwa waangalizi tu kama process zote zimefatwa
Najua utumishi wanakuwa waangalizi ,kwa hyo pia taasisi inaweza isiwe na haraka na watu wake ,,au inakuwa hajasettle baadhi ya vitu kwa WAAJIRIWA wake WAPYA nn..nawaza tu
 
Habari zenu wanajamvini,

Naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali, je majibu yameshatoka toka utumishi?

Na waliofanikiwa kupata NAFASI je wameitwa kwa simu au Bado wanasubria mkeka toka utumishi watoe wenye mtu atuhabarishe kuitwa kazini tayari au Bado Maana kimya sana kweny tovuti ya sektarieti ya ajira ...usijejua labda watu walishapigiwa simu.

NAOMBA WENYE KUJUA KUHUSIANA WAAJIRIWA WAPYA CHUO CHA TENGERU WAPO TAYARI AU BADO
Subri pdf ya placement acha wasi was
 
Najua utumishi wanakuwa waangalizi ,kwa hyo pia taasisi inaweza isiwe na haraka na watu wake ,,au inakuwa hajasettle baadhi ya vitu kwa WAAJIRIWA wake WAPYA nn..nawaza tu
Hapana nadhani utumishi tu ndo wanachelewesha kwasababu mpaka kupeleka nafasi za kazi utumishi ilizitangazwe fungu linakuwa limeshatengwa kwaajili ya new employees
 
Wasipotoa pdf utumishi je? Maana kuna sahili zingne pdf hazitokagi aisee ..Bali waliofanikiwa wanajulishwa kwa simu...unaona imekaaje hii
Ukiona haupo pdf na ujapigiwa sm ujue umekandwa pamban na nyingine maisha yaendlee
 
Back
Top Bottom