Majibu ya Prof. Kitila Mkumbo kwa Tundu Lissu

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
MAJIBU YA PROF.KITILA KWA LISSU
Tundu Lissu: baada nilishalala lakini maandishi hayaozi. Nimekusoma.
Those are simply usual innuendos from a usual and expected you. You did not address any of my major arguments. As usual, ukaishia kutukana na kutoa hogwash allegations kwamba tulipewa hela na CCM ili tugawe kura za ukawa. Sounds familiar evil-intentioned allegation. Unachosahau ni kwamba nyie haohao mliimba miezi mingi kwamba tulipewa hela na Lowassa ili tuanzishe Chama chake na kwamba angegombea kwenye Chama hicho.

Alipowafuata mkanywea na kumeza fedheha. Wewe ni mwanasiasa uliyebarikiwa kutokuwa na mshipa wa aibu. Unabahati pia upo katika Jamii ambayo political morals ni kama hazipo. Ndiyo maana akina Chenge hadi leo wanaendelea kutamba.

Kuhusu uimara au udhaifu wa CUF. Utafanikiwa kuwadanganya wana CUF wajinga tu kwamba kura na wabunge waliopata ni kazi ya miezi miwili baada ya Lipumba kuondoka na malaika Lowassa kuingia ukawa. CUF werevu hutawapata na wapo wengi na Ndiyo maana wenzako wanafanyia vikao Vuga. CUF werevu wanajua kwamba walifanya kazi miaka mitano kuvuna walichokivuna.

CUF werevu wanajua mlituma watu wenu wachukue fomu hata Katika majimbo mliyokubaliana kuachiana. CUF werevu wanajua kwamba mlimwambia Anatropia kamwe asitoe jina lake huku Segerea na ndiyo maana mkamzawadia ubunge wa Viti maalumu. Endeleeni kuwadanganya CUF wajinga lakini CUF werevu wapo tele!
 
MAJIBU YA PROF.KITILA KWA LISSU
Tundu Lissu: baada nilishalala lakini maandishi hayaozi. Nimekusoma.
Those are simply usual innuendos from a usual and expected you. You did not address any of my major arguments. As usual, ukaishia kutukana na kutoa hogwash allegations kwamba tulipewa hela na CCM ili tugawe kura za ukawa. Sounds familiar evil-intentioned allegation. Unachosahau ni kwamba nyie haohao mliimba miezi mingi kwamba tulipewa hela na Lowassa ili tuanzishe Chama chake na kwamba angegombea kwenye Chama hicho. Alipowafuata mkanywea na kumeza fedheha. Wewe ni mwanasiasa uliyebarikiwa kutokuwa na mshipa wa aibu. Unabahati pia upo katika Jamii ambayo political morals ni kama hazipo. Ndiyo maana akina Chenge hadi leo wanaendelea kutamba.

Kuhusu uimara au udhaifu wa CUF. Utafanikiwa kuwadanganya wana CUF wajinga tu kwamba kura na wabunge waliopata ni kazi ya miezi miwili baada ya Lipumba kuondoka na malaika Lowassa kuingia ukawa. CUF werevu hutawapata na wapo wengi na Ndiyo maana wenzako wanafanyia vikao Vuga. CUF werevu wanajua kwamba walifanya kazi miaka mitano kuvuna walichokivuna. CUF werevu wanajua mlituma watu wenu wachukue fomu hata Katika majimbo mliyokubaliana kuachiana. CUF werevu wanajua kwamba mlimwambia Anatropia kamwe asitoe jina lake huku Segerea na ndiyo maana mkamzawadia ubunge wa Viti maalumu. Endeleeni kuwadanganya CUF wajinga lakini CUF werevu wapo tele!
Professor,punguza munkari!!
Yameorodheshwa mafanikio ya CUF ndani ya UKAWA na nje ya UKAWA na naamini hiyo ndi basis ya discussion kufuatia kauli ya kuwa CUF itakuwa imara chini ya Lipumba.
Kama Mwalimu wa Chuo Kikuu naamini si lazima u comment kila topic,zingine ziache zipite na kama hii ya leo ukweli ni kuwa umefunika ukweli ukatangaza ushabiki.
 
U-Professor wa Wasomi wetu hawa ni wa kimiujiza sana.

Inakuaje Ma-Professor wanafanya mambo ya kipuuzi kuliko mtu mwenye elimu ya Sekondari???????????????????????????????

Ni vigezo gani vinatumika kumuita Mtanzania Professor???????????????????????????????????????
 
MAJIBU YA PROF.KITILA KWA LISSU
Tundu Lissu: baada nilishalala lakini maandishi hayaozi. Nimekusoma.
Those are simply usual innuendos from a usual and expected you. You did not address any of my major arguments. As usual, ukaishia kutukana na kutoa hogwash allegations kwamba tulipewa hela na CCM ili tugawe kura za ukawa. Sounds familiar evil-intentioned allegation. Unachosahau ni kwamba nyie haohao mliimba miezi mingi kwamba tulipewa hela na Lowassa ili tuanzishe Chama chake na kwamba angegombea kwenye Chama hicho. Alipowafuata mkanywea na kumeza fedheha. Wewe ni mwanasiasa uliyebarikiwa kutokuwa na mshipa wa aibu. Unabahati pia upo katika Jamii ambayo political morals ni kama hazipo. Ndiyo maana akina Chenge hadi leo wanaendelea kutamba.

Kuhusu uimara au udhaifu wa CUF. Utafanikiwa kuwadanganya wana CUF wajinga tu kwamba kura na wabunge waliopata ni kazi ya miezi miwili baada ya Lipumba kuondoka na malaika Lowassa kuingia ukawa. CUF werevu hutawapata na wapo wengi na Ndiyo maana wenzako wanafanyia vikao Vuga. CUF werevu wanajua kwamba walifanya kazi miaka mitano kuvuna walichokivuna. CUF werevu wanajua mlituma watu wenu wachukue fomu hata Katika majimbo mliyokubaliana kuachiana. CUF werevu wanajua kwamba mlimwambia Anatropia kamwe asitoe jina lake huku Segerea na ndiyo maana mkamzawadia ubunge wa Viti maalumu. Endeleeni kuwadanganya CUF wajinga lakini CUF werevu wapo tele!
Duuuu, hatari. Yaani CUF wamepata Wabunge 10 bila influence ya UKAWA!!!!! yahitaji kujitoa ufaham kuongea uongo namna hii. Hata CHADEMA wenyewe nje ya UKAWA wasingepata hicho walichopata iwe CUF?
hao ndo wasomi wetu hao.
 
MAJIBU YA PROF.KITILA KWA LISSU
Tundu Lissu: baada nilishalala lakini maandishi hayaozi. Nimekusoma.
Those are simply usual innuendos from a usual and expected you. You did not address any of my major arguments. As usual, ukaishia kutukana na kutoa hogwash allegations kwamba tulipewa hela na CCM ili tugawe kura za ukawa. Sounds familiar evil-intentioned allegation. Unachosahau ni kwamba nyie haohao mliimba miezi mingi kwamba tulipewa hela na Lowassa ili tuanzishe Chama chake na kwamba angegombea kwenye Chama hicho. Alipowafuata mkanywea na kumeza fedheha. Wewe ni mwanasiasa uliyebarikiwa kutokuwa na mshipa wa aibu. Unabahati pia upo katika Jamii ambayo political morals ni kama hazipo. Ndiyo maana akina Chenge hadi leo wanaendelea kutamba.

Kuhusu uimara au udhaifu wa CUF. Utafanikiwa kuwadanganya wana CUF wajinga tu kwamba kura na wabunge waliopata ni kazi ya miezi miwili baada ya Lipumba kuondoka na malaika Lowassa kuingia ukawa. CUF werevu hutawapata na wapo wengi na Ndiyo maana wenzako wanafanyia vikao Vuga. CUF werevu wanajua kwamba walifanya kazi miaka mitano kuvuna walichokivuna. CUF werevu wanajua mlituma watu wenu wachukue fomu hata Katika majimbo mliyokubaliana kuachiana. CUF werevu wanajua kwamba mlimwambia Anatropia kamwe asitoe jina lake huku Segerea na ndiyo maana mkamzawadia ubunge wa Viti maalumu. Endeleeni kuwadanganya CUF wajinga lakini CUF werevu wapo tele!
Nyie mnaojiita wasomi hamtendei haki taifa hili Jina prof.halina maana tena hamna tofauti na waliomaliza darasa la saba,nilitegemea mngelitengeneza hili taifa kumbe mnalibomoa kafanyeni reseach achaneni na siasa taka,aibu kwa mnaojiita maprof.
 
Le Professeri mwingine huyo,nchii ina wasomi waajabu sana hii! Huyu hana tofauti na Lipumba ndio maana alisepa ccm akaenda cdm na sasa yupo act aendelee kumtete lipumba manake ndio type yake.
Maprof.wa hovyo kabisa kuwahi kuwaona Dunia hii hawana sifa ya kuitwa prof.nendeni mkafundishe au mkafanye research siasa waachieni wanaojua siasa,
 
"Jamii ambayo political morals ni kama haipo". Siyo kwamba ni kama haipo, ukweli ni kwamba haipo kabisa. CCM,UAKWA, ACT nk wote hamuaminiki na ndiyo maana mmeliteka jukwa hili, mnakesha kubishana hapa hata kwa mambo yasiyokuwa na maslahi kwa Taifa. Taifa litaendeleaje kama vyama vyote vya siasa ni waongo wakubwa?
 
Maprof njaa hao. Aligundua nn mpaka kupewa uprofesa? Au njia mpya ya kupiga Jungu. /Propaganda.
 
Prof.Kitila yuko LIVE au MUBASHARA kwenye ITV sasa hivi....ni msomi mzuri lakini siasa na shule mimi naona ni kama maji na mafuta.
 
Back
Top Bottom