kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,734
Nimebahatika kumsikia huyu ndugu akimsifia Prof. Muhongo kwa kumwita Prof. Mwenzie kwa kuufananisha Uprof. wa Muhongo sawasawa na wa kwake. kilichonisikitisha ni pale aliposema anashukuru kwa kutengewa fedha kwa ajili ya kusambaza umeme eneo la mjini huku akitaja kata zaidi ya 10 zikiwa hazijapelekewa umeme na pia hazipo katika bajeti hii na amemtaka Waziri ahakikishe umeme unapelekwa huko huku akijua kabisa bajeti hiyo haipo na kwa ujinga baada ya malalamiko yote akatamka kuwa anaunga mkono hoja kwa 350%