Majeshi ya DRC Yaurudisha Mji wa Kalembe Serikalini Baada ya Kuwapiga M23

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
6,720
10,919
Screenshot_20241022_202700_Parallel Space.jpg


Hizi ni habari kutoka Mashariki ya DRC. Huo mji ulikuwa chini ya vikundi vya wanamgambo wa M23 wanaosaidiwa na Serikali ya Rwanda
 
Shida wakipigwa ambush usiku huu wanakimbia bila viatu wanaachia mji! Sijui kwanini DRC wanakwama kuwekeza kwenye jeshi imara given the huge size of their country! Wanashindwa hadi na vinchi vidogo kuliko ukubwa wa vijiji vingi vya DRC!
 
Shida wakipigwa ambush usiku huu wanakimbia bila viatu wanaachia mji! Sijui kwanini DRC wanakwama kuwekeza kwenye jeshi imara given the huge size of their country! Wanashindwa hadi na vinchi vidogo kuliko ukubwa wa vijiji vingi vya DRC!
Hawa DRC wanajuwa muziki, kupakaa mikorogo na kulelewa na kijimama.

Wakongo hawajiwezi asilani
 
Nyinyi wakongo mnachoweza ni kukata mauno, sebene, ndombolo nk kupigana vita hamuwezi kanchi kadoogo kanawachachafya
Nyinyi bandugu BaTanzania buakili yenu bose buko kumufuko ya Simba na Yanga ...mubiya ya shilingi 400 bunauziwa 2000 vocha ya 300 bunauziwa mushilingi 1000 na munyinyi bunacheka tu bunaimba tu muchawa ya mamaa hata hamufikirii buinchi yenu butauzwa na munyinyi humohumo .....Si BaKongo zamu hii huyo bujirani yenu tunakwenda kumupiga na masase muzito muzito bupeperushwe na bupepo ya makombora bukatuwe kwa Museveni bunalia na kubuharisha...
 
Shida moja ya askari wa Kongo, wakipata ushindi kidogo tu lazima waanze kusherehekea kwa kunywa pombe wote kwq pamoja. Hawawezagi kulinda ushindi wao, soon PK anakuja kivingine na kuwanyang'anya tena.
 
Naskiza hapa dw kiswahili ni kwamba M23 wameuchukua tena huu mji. Hivi JWTZ si ipo huko kujibu mashambulizi na sio kulinda amani? Mbona kazi kama vile JW imewashinda au nao wanabeba dhahabu na pis za kinyankole za MULENGE MASISI?????
 
Back
Top Bottom