Majenerali wa Jeshi la Isreal wataka vita visitishwe huko Gaza

Benderea

JF-Expert Member
May 25, 2021
379
741
Kama kichwa cha habari kinavojieleza habari ambazo zina trend kwa sasa ni kwa Majenerali wa Jeshi la Israel kuitaka serikali ya Netanyahu kusitisha vita huko Gaza ili mateka wakombolewe salama na pia kuepusha vita na Hesbollah ya Lebanon kitu ambacho wao wanaona hakuna msingi huo hata kama Hamas wataendelea kubakia Gaza.

Hii inatokana na askari wa majeshi ya Israel kuchoka kupigana na kupelekea wengine ama kuacha jeshi au kuomba kuondolewa jeshini wakati huohuo ikíkabiliwa na upungufu mkubwa wa wapiganaji katika uwanja wa mapambano.

Habari zaidi zinapatikana katika vyombo vya habari mbalimbali duniani likiwemo gazeti maarufu la Israel "HAAERTZ''
 
Hii vita kwa sasa imepoteza mwelekeo. Nina uhakika pia malengo ya kuwakomboa mateka na kuiangamiza Hamas nayo hayatatimia.
Na ahadi ya kuanzisha vita dhidi ya Hezbollah pia itaota mbawa!!

Kimsingi Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amefeli vibaya. Ni historia pekee ndiyo itamkumbuka yeye na wenzake wa Hamas, kwa mauaji ya halaiki waliyoyafanya.
 
Hawana kazi za kufanya ndio tatizo la kuendelea , sisi tuko busy kutafuta maendeleo .
 
Hii vita inafanya viongozi wetu wa kiafrika kupata chaka la kujifichia
Umeisahau na ile vita ya Urusi dhidi ya Ukraine + ugonjwa wa corona.

Ukiwauliza kuhusu upandaji holela wa bei ya mafuta, mfumuko wa bei, kushuka kwa thamani ya pesa, maisha magumu kwa wananchi, kukithiri kwa vitendo vya rushwa, nk. Sababu wanazotoa ndiyo hizo! Na tunawakubalia tu kirahisi.
 
Joe Biden amekalia kuti kavu dhidi ya Trump. Anashinikiza Israeli ili kupata kura za wavaa vipedo na misuli wa huko marekani 🤔
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza habari ambazo zina trend kwa sasa ni kwa Majenerali wa Jeshi la Israel kuitaka serikali ya Netanyahu kusitisha vita huko Gaza ili mateka wakombolewe salama na pia kuepusha vita na Hesbollah ya Lebanon kitu ambacho wao wanaona hakuna msingi huo hata kama Hamas wataendelea kubakia Gaza.

Hii inatokana na askari wa majeshi ya Israel kuchoka kupigana na kupelekea wengine ama kuacha jeshi au kuomba kuondolewa jeshini wakati huohuo ikíkabiliwa na upungufu mkubwa wa wapiganaji katika uwanja wa mapambano.

Habari zaidi zinapatikana katika vyombo vya habari mbalimbali duniani likiwemo gazeti maarufu la Israel "HAAERTZ''
Kichapo wanachokula kila siku hawakukitegemea, wamechoka kuuliwa kwa ajili ya kulinda maslahi binafsi ya nyau.

Hao mazayuni wakishashindwa toka siku ya kwanza walipotangaza vita na walichokiita "kikundi cha gaidi', wakati wao ndiyo wanaofanya ugaidi kwa miaka mingi saana sasa.

Watasimamisha vita kwa masharti ya Hamas, wakipenda wasipende.
 
Kuna watu hapa leo wanatuambia tuiangalie ghaza ilivyokua magofu ndio utajua kama usrahell wanashinda vitanana laah
Malengo ya usrahell tokea awali hayakua kuigeuza ghaza magofu tunawakumbusha tu kina T14 Armata na wenzie
Mwezi watisa sasa usrahell wamefanikiwa kuwaokoa magaidi wao 14 ndani ya kigamboni ya palestina itawahitajia miaka 20+ kuokoa magaidi wao walobakia kama wataweza kuwaokoa
Mwezi wa tisa sasa juzi sijui jana tumeona makombora yamerushwa kutokea khano younis kwenda usrahell kwamaana hio hamas ipo na tunayo sana
Wakati wanailaumu russia kushindwa dhidi ya nchi ila mnashindwa iongelea usrahell inayopigana na kata 😀🤗😀
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza habari ambazo zina trend kwa sasa ni kwa Majenerali wa Jeshi la Israel kuitaka serikali ya Netanyahu kusitisha vita huko Gaza ili mateka wakombolewe salama na pia kuepusha vita na Hesbollah ya Lebanon kitu ambacho wao wanaona hakuna msingi huo hata kama Hamas wataendelea kubakia Gaza.

Hii inatokana na askari wa majeshi ya Israel kuchoka kupigana na kupelekea wengine ama kuacha jeshi au kuomba kuondolewa jeshini wakati huohuo ikíkabiliwa na upungufu mkubwa wa wapiganaji katika uwanja wa mapambano.

Habari zaidi zinapatikana katika vyombo vya habari mbalimbali duniani likiwemo gazeti maarufu la Israel "HAAERTZ''
Weka sources sio unatuletea stori za vijiwe vya kahawa
 
Kuna watu hapa leo wanatuambia tuiangalie ghaza ilivyokua magofu ndio utajua kama usrahell wanashinda vitanana laah
Malengo ya usrahell tokea awali hayakua kuigeuza ghaza magofu tunawakumbusha tu kina T14 Armata na wenzie
Mwezi watisa sasa usrahell wamefanikiwa kuwaokoa magaidi wao 14 ndani ya kigamboni ya palestina itawahitajia miaka 20+ kuokoa magaidi wao walobakia kama wataweza kuwaokoa
Mwezi wa tisa sasa juzi sijui jana tumeona makombora yamerushwa kutokea khano younis kwenda usrahell kwamaana hio hamas ipo na tunayo sana
Wakati wanailaumu russia kushindwa dhidi ya nchi ila mnashindwa iongelea usrahell inayopigana na kata 😀🤗😀
Kwa akili ulitarajia Israel alilenga kwenda kukomboa mateka? Israel alitaka kuiharibu Gaza na miundombinu ya Hamas, hili kafanikiwa kwa asilimia kubwa. Kuimaliza Hamas ni ngumu kwani ni ideology, ila wapiganaji wake wengi wamekufa na walibakia inabidi wajifiche kati ya raia.
 
Kuna watu hapa leo wanatuambia tuiangalie ghaza ilivyokua magofu ndio utajua kama usrahell wanashinda vitanana laah
Malengo ya usrahell tokea awali hayakua kuigeuza ghaza magofu tunawakumbusha tu kina T14 Armata na wenzie
Mwezi watisa sasa usrahell wamefanikiwa kuwaokoa magaidi wao 14 ndani ya kigamboni ya palestina itawahitajia miaka 20+ kuokoa magaidi wao walobakia kama wataweza kuwaokoa
Mwezi wa tisa sasa juzi sijui jana tumeona makombora yamerushwa kutokea khano younis kwenda usrahell kwamaana hio hamas ipo na tunayo sana
Wakati wanailaumu russia kushindwa dhidi ya nchi ila mnashindwa iongelea usrahell inayopigana na kata 😀🤗😀
Labda u kijana mdogo na hupendi kujisomea mambo ya duniani.

Hiyo kwa Ghaza siyo mara ya kwanza, ishabomolewa sana kanzia 1948.

Jiulize, kubomolewa kote huko Hamas wanapata wapi silaha? Wateka wa kizayuni wako wapi? mashambulizi ya ki guerilla wanayoyafanya saa zote wanatokea wapi?
 
Achana na habari za vijiweni mkuu, weka source ya taarifa zako
Hahaha poleni sana

Na hi ya pili ya barabarani kama hukushiba, nyama choma piga chapati kwa maharage

Back
Top Bottom