Majasusi wa Marekani wafichua namna walivyoipeleleza Tanzania

Ccm haijafa mkuu! Ccm INA hazina kubwa sana ya watu waadilifu na wazalendo!

Toa utahira wako hapa,ccm ina wazalendo? Hao wanaonyonya nchi?
Hao wanaongoza kuua tembo?
Hao wanao fisadi pesa za wananchi kila siku? Acha ujinga na siku nyingine usiongee utumbo kama huo.
 
Mkuu ukiwa mkweli ushindi we vita sio wa mbwa au bunduki. Tanzania ilitumika na nchi zenye maslahi. Ndio maana nchi tulizozikomboa wademocrasia na usitawi kuliko sisi. Sisi tulitumika kufanya tusivyovijua
Unajua ulichoandika???
 
Naona walituchagulia Mwinyi ili kuendana na Sera za kibepari na WB & IMF.....

But all in all Nyerere Regency will stay alive for more generation......

Alikuwa mzalendo Wa kweli kwa Tanzania.........

R.I.P.........
Usilolijua omba usaidiwe
 

Para ya nne kutoka mwisho inamtaja Mkapa kama moja ya successor watarajiwa, na kweli alikuja akawa Rais.

Para ya pili kutoka mwisho inazungumzia jinsi ambavyo CIA wali - underestimate uwezo wa Mwl Nyerere kuiendesha nchi kwa kutumia remote, walidhani atafanya hivyo kwa miaka miwili ya mwanzo tu, cha kushangaza mpaka Mwinyi anaondoka madarakani bado Nyerere alikuwa mbele kwenye kusababisha maamuzi.

Mkapa akaja, na kwa kuwa jamaa walisha mweka kwenye moja ya expected successor, ni ukweli kwamba watakuwa walishampa mipango yao, watakuwa walishakaa meza moja kujadili jinsi ya kuhakikisha Mwl hawi pingamizi kwenye maamuzi ya kuhama kutoka kui-favor China na kurudi US.

Hivi Barick ameingia Tz msimu upi?

Naogopa kusema kwamba hakukuwa na namna nyingine ya kumaliza influence ya Mwl zaidi ya kilichofanyika, sote tunajua.

RIP Mwl.
 

Kipi kilichofanyika?
 
Tanzania ya sasa vyombo vyetu vya ujasusi vipo busy kumtafuta aliyeeneza uzushi wa kuwa tz Ina zika
Tanzania ipi mkuu iliwahi kuwa nzuri. Ya mkoloni no Tanganyika. Sasa hivi tunavuna uharibifu wa alichoacha mkoloni,na kikichopandwa na hao waaribifu. Sasana him ccm inapanda tens uharibifu wa kuja vunwa na wanaofuta.
 
Pumbavu sana wewe na Trump wako. Mwanaume/ mwanamke mzima unashindwa kufight mwenyewe unamtegemea Trump?! Kwa lipi hasa? Acha umama mama, napiga picha huyo Trump asingekuwepo ungeficha mkia! Ukaufyata?!
Kweli wewe ni ushuzi.
Akili yako ndiyo imefika mwisho? Ukiona kubwa jinga linaijadili ID ya JF ujue uwezo umefika mwisho,mara ngapi marekani imekomesha viongozi waovu kama baba yako? Leo hii mnaonea Wapinzani na jeshi ni lenu unataka watu waasi? Kwani Tramp hawezi kuambiwa?unapenda watu wajilipue kama Somalia? Wewe ni bonge la mshamba njaa zako za kukaa gheto kwa Lipumba zimekutoa fahamu mpaka unajiona una Akili kumbe ni Fa-la namba moja.
 
Nimekipenda kipande walicho admit kwamba "they were frustrated because of their inability to control or influence Nyerere......."
 
Reactions: Auz
Pumbavu sana wewe na Trump wako. Mwanaume/ mwanamke mzima unashindwa kufight mwenyewe unamtegemea Trump?! Kwa lipi hasa? Acha umama mama, napiga picha huyo Trump asingekuwepo ungeficha mkia! Ukaufyata?!
Kweli wewe ni ushuzi.

Wewe ndo pumbavu huna akili na hujui lolote kuhsu nchi yako wala Marekani!
CIA hata siku moja hawajalala kuhusu kuipeleleza Tanzania na nchi zingine duniani.
Maadamu Mmarekani ana maslahi ya kiuchumi na kijeshi kuhsu Tanzania na nchi zingine duniani kamwe hataacha kuipeleleza Tanzania. Marekani ana maeneo mengi tu kawekeza hapa Tanzania na anaendelea kufanya hivo.
Sasa hivi kuna Trump ameingia na sera zake bado hazitabiliki hivo anaweza kuimarisha upepelezi wa CIA kwa serikali za Kiafrika zenye kuendekeza udikteta ikiwemo Tanzania na kuzishughulikia ipasavyo! Trump ameshaweka waz hataki ujinga!!!!!
 
Ndio akili yangu imefika mwisho kabisa.

Ni upumbavu sana, kushabikia upumbavu wa mtu fulani na kuona ni sawa. Kamwe na haina faida kwa wewe kumtegemea mtu mwingine akufanyie kazi yako na wewe umekaa unabweka tu.

Trump is for Americans na Magufuli is for Tanzanians.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…