Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,015
Habari wanajukwaa!
Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka.
Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya kuzipata-fedha.
Ulizaliwa peke yako, umekutana na ndugu, jamaa na marafiki ambao wamegeuka kuwa circle yako. Usiwasahau ukipata, lakini kabla haujawapa hao ndugu, rafiki na jamaa feed yourself first. Msibani watasema "alikufa kwa njaa, kijana au binti bahili sana yule!" hata wale ambao saa chache kabla ya umauti wako walipokea muamala kutoka kwako.
Tuishi ila tusisahau kufurahi kwanza, be safe. Kabla ya yote nataka kusema muwe na siku njema.
Sikiliza wimbo huu wa Teni unaoitwa Hustle hapo chini.
View: https://youtu.be/FKqlAbsGlg0?si=zvvLEqXpeV0pZmaK