Maisha yana nyakati 3 zifahamu mapema kabla hujaanza kulaumu watu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Mar 14, 2023
301
1,029
Kwanza ni utoto🤼 utafanya kila aina ya vituko ila kama hujakosolewa ☝🏾 au kupigwa kabisa bado hujajua chochote kuhusu ulifanyalo📌 ndiyo maana wakasema utoto raha😄

Wakati wa pili ni ujana ni wakati ambao unahitaji umakini na utulivu🕴🏾 hasa kwenye swala la kuomba🙏 na katika utafutaji maana ujana nikama mchezo uliofika nusu fainali⛹🏾 unatakiwa kupambana kadir yauwezavyo ili kujiandaa kuwa baba bora au mama bora👏🏾 ni kipindi kigumu sana na ndo kipindi kinachodumu sana katika maisha ya mwanadam💔 ujana unaraha endapo kama utautumia kwakuzingatia misingi yako🤲🏾

Wakati wa tatu3 Uzee🧑🏾‍🦯 uzee ni kipindi cha matokeo⌚kama ulifanya vyema bac utaishi vizur katika uzee wako🧑🏾‍🦯 ila kama ulifanya bora liende bac huo ndo wakati wakujilaum💔 maana tayar utakuwa upo kwenye fainali na huna maandalizi yeyote ni muda wakupokea ulichokiandaa wakati wa utoto na wakati wa ujana🕴🏾 uzee ni wakati wamajuto kwaalihe fanya ubatili wakati wa ujana💃🏾 Kama ulikula ujana bac usitegemee kuumeza uzee utakushinda🤣 mavuno yake ni kilio kisicho na matumaini yafaraja💓 hivyo bac jitaidi kusahihisha utokapo🚶🏾 Maana hakuna mti🌳 unaoota na matunda🥭🍊 Hivyo bac hata wewe hujazaliwa na makosa ila yatakukuta na utayatafuta paspo wewe kujua🩸🩸Hivyo jitaidi usiwe miongoni mwa wanao ujutia uzee🧓🏾🧓🏾

 
Nimesoma kidogo lakini blah blah blah blah blah kikubwa utafutwe utajiri. 😃😃😃😃👍👍👍
 
Uzee upo akilini mwenu,mwenzenu Hadi nafikisha 79years ntakuwa natembeza tu bakora,kifupi mm ndiye wahenga waliyenilenga waliposema Ngombe hazeeki ini.
 
Uzee upo akilini mwenu,mwenzenu Hadi nafikisha 79years ntakuwa natembeza tu bakora,kifupi mm ndiye wahenga waliyenilenga waliposema Ngombe hazeeki ini.
 
Donald Trump ana miaka 78 bado anapambana in shot uzee ni mentality and attitude ya mtu mwenyewe.
 
Ukianza kuwa tajiri utaambiwa freemason, na usiombe ndugu Yako afe utaambiwa unatoa kafara. Ukicheza unaweza tengwa na familia wakikuhisi ni mshirikina

Ngozi nyeusi sisi ni washenzi sana
Sio ngozi nyeusi tu bali watanzania kwa UJUMLA, hatupendi sote tupate maendeleo 😃😃😃👍👍👍 hata humu hatupendi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…