Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 301
- 1,029
Kwanza ni utoto🤼 utafanya kila aina ya vituko ila kama hujakosolewa ☝🏾 au kupigwa kabisa bado hujajua chochote kuhusu ulifanyalo📌 ndiyo maana wakasema utoto raha😄
Wakati wa pili ni ujana ni wakati ambao unahitaji umakini na utulivu🕴🏾 hasa kwenye swala la kuomba🙏 na katika utafutaji maana ujana nikama mchezo uliofika nusu fainali⛹🏾 unatakiwa kupambana kadir yauwezavyo ili kujiandaa kuwa baba bora au mama bora👏🏾 ni kipindi kigumu sana na ndo kipindi kinachodumu sana katika maisha ya mwanadam💔 ujana unaraha endapo kama utautumia kwakuzingatia misingi yako🤲🏾
Wakati wa tatu3 Uzee🧑🏾🦯 uzee ni kipindi cha matokeo⌚kama ulifanya vyema bac utaishi vizur katika uzee wako🧑🏾🦯 ila kama ulifanya bora liende bac huo ndo wakati wakujilaum💔 maana tayar utakuwa upo kwenye fainali na huna maandalizi yeyote ni muda wakupokea ulichokiandaa wakati wa utoto na wakati wa ujana🕴🏾 uzee ni wakati wamajuto kwaalihe fanya ubatili wakati wa ujana💃🏾 Kama ulikula ujana bac usitegemee kuumeza uzee utakushinda🤣 mavuno yake ni kilio kisicho na matumaini yafaraja💓 hivyo bac jitaidi kusahihisha utokapo🚶🏾 Maana hakuna mti🌳 unaoota na matunda🥭🍊 Hivyo bac hata wewe hujazaliwa na makosa ila yatakukuta na utayatafuta paspo wewe kujua🩸🩸Hivyo jitaidi usiwe miongoni mwa wanao ujutia uzee🧓🏾🧓🏾