Uchunguzi uliofanywa na kamera ya KigodoroTV, imebaini kuwa watu wa vijijini maisha yao yamekuwa bora zaidi ndani ya mwaka 1 wa jpm. Mwandishi wetu amepita sehemu mbalimbali za nchi hii na kubaini kuwa kelele za maisha magumu zinapigwa na watumishi wa umma tu pamoja na wafanyabiashara wa kati na wakubwa waliozoea kupiga dili.
ambapo idadi yao kwa pamoja ni takribani mil 1.
hii ndiyo kusema watanz waliobakia 49mil wanafurahia maisha.
mfano mamantilie, bodaboda na machinga sasa ruksa kufanya biashara katikati ya mji. maana yake ni kwamba sasa makundi ya watu hawa yanapiga hela.
kwa vijijini wananufaika na rushwa na ubabaishaji ktk ofisi za umma kuondoshwa, elimu bure na kuimarika kwa baadhi ya mazao ya biashara kama vile korosho na pamba.
bei ya korosho imeleta kwa wananchi wa mikoa ya pwani, lindi na mtwara wakati ile ya pamba imeleta neema kwa mikoa ya mwanza shinyanga, simiyu na geita.
hoja hapa ni kwamba kwa ujumla hali huko vijini ni nzuri mno. na hapa mjini kundi kubwa la watu wanapata riziki zao.
umeniwahi!Utafiti umefanywa na chombo kinaitwa KigodoroTV!! Huwezi kushangaa.
.....ametumia techniq ipi wakati anapofanya hiyo sampling
unaongelea vijiji vya tz au nchi nyingine mkuu?Uchunguzi uliofanywa na kamera ya KigodoroTV, imebaini kuwa watu wa vijijini maisha yao yamekuwa bora zaidi ndani ya mwaka 1 wa jpm. Mwandishi wetu amepita sehemu mbalimbali za nchi hii na kubaini kuwa kelele za maisha magumu zinapigwa na watumishi wa umma tu pamoja na wafanyabiashara wa kati na wakubwa waliozoea kupiga dili.
ambapo idadi yao kwa pamoja ni takribani mil 1.
hii ndiyo kusema watanz waliobakia 49mil wanafurahia maisha.
mfano mamantilie, bodaboda na machinga sasa ruksa kufanya biashara katikati ya mji. maana yake ni kwamba sasa makundi ya watu hawa yanapiga hela.
kwa vijijini wananufaika na rushwa na ubabaishaji ktk ofisi za umma kuondoshwa, elimu bure na kuimarika kwa baadhi ya mazao ya biashara kama vile korosho na pamba.
bei ya korosho imeleta kwa wananchi wa mikoa ya pwani, lindi na mtwara wakati ile ya pamba imeleta neema kwa mikoa ya mwanza shinyanga, simiyu na geita.
hoja hapa ni kwamba kwa ujumla hali huko vijini ni nzuri mno. na hapa mjini kundi kubwa la watu wanapata riziki zao.
Utakuwa ni utafiti wa kijiji cha chato pekee lakini vijijini vinginevyo vyote ni njaa kwa kwenda mbele.Uchunguzi uliofanywa na kamera ya KigodoroTV, imebaini kuwa watu wa vijijini maisha yao yamekuwa bora zaidi ndani ya mwaka 1 wa jpm. Mwandishi wetu amepita sehemu mbalimbali za nchi hii na kubaini kuwa kelele za maisha magumu zinapigwa na watumishi wa umma tu pamoja na wafanyabiashara wa kati na wakubwa waliozoea kupiga dili.
ambapo idadi yao kwa pamoja ni takribani mil 1.
hii ndiyo kusema watanz waliobakia 49mil wanafurahia maisha.
mfano mamantilie, bodaboda na machinga sasa ruksa kufanya biashara katikati ya mji. maana yake ni kwamba sasa makundi ya watu hawa yanapiga hela.
kwa vijijini wananufaika na rushwa na ubabaishaji ktk ofisi za umma kuondoshwa, elimu bure na kuimarika kwa baadhi ya mazao ya biashara kama vile korosho na pamba.
bei ya korosho imeleta kwa wananchi wa mikoa ya pwani, lindi na mtwara wakati ile ya pamba imeleta neema kwa mikoa ya mwanza shinyanga, simiyu na geita.
hoja hapa ni kwamba kwa ujumla hali huko vijini ni nzuri mno. na hapa mjini kundi kubwa la watu wanapata riziki zao.
Naona hicho kigodoro ni mojawapo ya makampuni ya uhuru mediaKama hoja ni mama ntilie kuruhusiwa hata mijini mama ntilie wapo mbona na wenyewe wanalalamika?
Vijiji unavyovisema ndiyo vile ukiumwa na nyoka chanjo ni laki mbili na nusu mpaka laki saba na nusu? Au una vijiji vyako kwenye hicho Kigodoro Tv
Unaweza ukakuta ndiyo hivyo, halafu utakuta siku kiongozi akasimama na kusema "Maisha yapo vizuri, uchumi umepanda mbona hata Kigodoro Tv wamesema?"Naona hicho kigodoro ni mojawapo ya makampuni ya uhuru media
Hizi tafiti zenu mnazo fanya na watoto wa darasa la kwanza ndio maana mnakuja na majibu ya uongoUchunguzi uliofanywa na kamera ya KigodoroTV, imebaini kuwa watu wa vijijini maisha yao yamekuwa bora zaidi ndani ya mwaka 1 wa jpm. Mwandishi wetu amepita sehemu mbalimbali za nchi hii na kubaini kuwa kelele za maisha magumu zinapigwa na watumishi wa umma tu pamoja na wafanyabiashara wa kati na wakubwa waliozoea kupiga dili.