Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

G Tank

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
2,067
7,918
Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana.

Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
 
Umekosea kuandika MTU anayeishi jela marekani ambaye anakesi za kawaida MAISHA ni mazuri ndani ya jela kuzidi hata MTU aliyepo huru Tz

So jifunze kuwa deep conscious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…