Wise1 JF-Expert Member Dec 6, 2012 201 133 Apr 9, 2016 #2 Na kweli maana kinachoonekana hapa hata formular zime-expire tayar, Harry kitilya.Boom
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,445 738,788 Apr 9, 2016 Thread starter #3 Wise1 said: Na kweli maana kinachoonekana hapa hata formular zime-expire tayar, Harry kitilya.Boom Click to expand... Kazi ipo! Kitillya ndani ya karandinga?
Wise1 said: Na kweli maana kinachoonekana hapa hata formular zime-expire tayar, Harry kitilya.Boom Click to expand... Kazi ipo! Kitillya ndani ya karandinga?
Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,208 13,239 Apr 9, 2016 #4 Wasulubiwe tu walijifanya miungu watu mbwa hawa
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,963 Apr 9, 2016 #5 Nadhani tunakoelekea tutaweza kuweka sheria za kuweza kuwashitaki maraisi wastaafu.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,445 738,788 Jul 10, 2017 Thread starter #7 Mgirik said: Wasulubiwe tu walijifanya miungu watu mbwa hawa Click to expand... Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Mgirik said: Wasulubiwe tu walijifanya miungu watu mbwa hawa Click to expand... Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,719 215,830 Jul 10, 2017 #8 samsun said: Nadhani tunakoelekea tutaweza kuweka sheria za kuweza kuwashitaki maraisi wastaafu. Click to expand... Niwe hai nione Yule alieamuru traffic lights ziwekwe kwenye mji unaopita gari moja kwa saa atajavyojieleza
samsun said: Nadhani tunakoelekea tutaweza kuweka sheria za kuweza kuwashitaki maraisi wastaafu. Click to expand... Niwe hai nione Yule alieamuru traffic lights ziwekwe kwenye mji unaopita gari moja kwa saa atajavyojieleza
gollocko JF-Expert Member Dec 20, 2011 2,945 2,280 Jul 10, 2017 #9 Kuwapeleka wenzako selo raha sana, siku ukipelekwa wewe uharo debe
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,963 Jul 10, 2017 #10 Sky Eclat said: Niwe hai nione Yule alieamuru traffic lights ziwekwe kwenye mji unaopita gari moja kwa saa atajavyojieleza Click to expand... Bi shosti upo ...... Maana nakutafuta kila jukwaa sikuoni ......?
Sky Eclat said: Niwe hai nione Yule alieamuru traffic lights ziwekwe kwenye mji unaopita gari moja kwa saa atajavyojieleza Click to expand... Bi shosti upo ...... Maana nakutafuta kila jukwaa sikuoni ......?