Mahusiano yangu yamekufa rasmi Valentine Day

Status
Not open for further replies.

clefting

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
222
392
Heri ya siku ya wapendanao

Iko hivi nilikuwa kwenye mahusiano na huyu dada nkwa miezi sita,Mm ni graduate nipo kitaa nina mwaka na hustle na kilimo na ufugaji ili kupata mahitaji yangu ya msingi kwahyo sikuwa na mpango na mwanamke maana nilijiona sina thaman na siwezi pendwa na mwanamke.

Sasa kuna dada mmoja ana office mtaani akaniomba nimshikie maana alipata changamoto za kiafya pale ndo nikaanza kushika visenti kidogo na nguo nilizonunua kwa hela za boom nikaanza kuzivaa. Ndani ya mwezi mmoja nikawa smart kidogo na nguvu za kiume zikarudi. Na huyu demu tulianza kazi mwezi mmoja office zilikuwa jirani, sikuwahi kuwaza kama atakuja kuwa demu wangu maana ni mzuri sana. Baada ya wiki kadhaa tukazoeana ndo akaanza kuonesha dalili za kunipenda ikanibidi nijaribu bahati
Siku hiyo hiyo alinikubalia na kaniambia tangu siku ya kwanza alivyoniona alinipenda. Ndo mahusiano yalivyoanza

Sasa tangu tuanze mahusiano kuna namba alikuwa anaongea nayo sana na anachat nayo inaonesha kama ni wapenzi nikimuuliza ananiambia ni kaka yake na kwenye chat anamwita bro. Nikimuuliza yupo wapi anasema sehemu ya mbali na tulipo, nikamwambia kama ni bro wako kweli basi utakuwa unatiana na ndugu yako aisee ugomvi ulikuwa mkubwa eti namsingizia vitu vibaya kama hivo
Siku nyingine nikakuta msg anaambiwa akachukue nyama kwa jamaa wa kitaa pale huwa anachoma nyama nikamuuliza hii msg vp mbona ulisema huyu bro wako yupo mbali nyama ya nini tena akanipanga amepiga simu kwa mchoma nyama na katuma hela nikapotezea.

Kuna kipindi huyu demu alipata mchongo wa kwenda mkoa mwingine ila ulifeli hatua za mwisho nikafuma msg anamwambia waonane leo amuage ampe mara moja nikamuuliza unaenda kumpa nn na mbona ulisema yupo mbali akajitetea kwamba kuna simu alitaka akampe na alikuja kusalimia nikapotezea. Sasa hatukonana kama wiki hivi nilisafiri kufuatilia mchongo nikamuibukia anakofanya kazi bila taarifa nikakutana na hii conversation iliyofanya nianzishe huu uzi (nahisi hakufuta kwasababu alijua sipo)
Jamaa: Leo show tunaenda kupiga wap

Demu: Na hili baridi itakuwa hatari

Jamaa: Na M... ameoa kaweka mke ndani sijui tutaenda wap

Demu: ha ha ha ha

Mshikaji: ngoja nicheck ramani nitakuambia

Demu: poa we check raman

Alivyoona nimesoma kitu kibaya akaanza kuniambia najua umesoma msg umezielewa tofauti nikamwambia nieleweshe vizuri akajitetea kwamba huyo ni bro wake ila huwa wanautani wa kijinga kama huo. Na kama sio utani wangeendaje kufanya mapenzi na yupo period na kwenye conversation sikuona amemwambia kuwa yupo period na mm aliniambia yupo period ikabid nihakikishe nikakuta kweli yupo

Hatua iliyofuata nika icheki jina halopesa kumbuka toka mwanzo niliamua kuchukulia easy sikutakaga ata kumjua huyo bro wake
Jina lilikuja la mtu ninayemjua ni wa kitaa apa apa na ni mtu wa karibu sana wa wazazi wa huyo binti na jamaa kaoa mwezi wa 11/2021

Kwa utetezi huo aliotoa ni nimeshindwa kumwelewa ninajua kabisa ana mahusiano na huyo jamaa na ni mahusiano ya siri kwasababu jamaa yupo karibu na wazazi wa huyo dogo. Nilimwambia kuanzia leo mm na ww basi nikataka kuondoka akanikaba kwa nguvu anapiga magoti anaomba msamaha na kulia nikaona atanijazia watu nikawa mpole nikakaa nikijikausha kama nipo OK Kajieleza sana but hamna nilichoelewa but kakataa kata kata kwamba hawapo kwenye mahusiano.

Muda ulivyofika tukaachana m nikarudi maskani. Sasa kipindi tupo kwenye mahusiano alikuwa anaonesha yupo very proud na mm, mtaani pale watu wanajua mm nipo nae hadi dadake na mamake wanajua. Saiz anatuma msg nasoma na kufuta.

N.B
Kwa wale ambao hamsomi msg za wapenzi wenu na mm nilikuwa hivyo mwanzoni ila nilianza kusoma baada ya yeye kung'ang'ania simu yangu muda wote ikiingia tuu msg anakimbilia kuisoma na uzuri sikuwa na mpenzi tofauti ya yeye
 
Heri ya siku ya wapendanao

Iko hivi nilikuwa kwenye mahusiano na huyu dada nkwa miezi sita,
Mm ni graduate nipo kitaa nina mwaka na hustle na kilimo na ufugaji ili kupata mahitaji yangu ya msingi kwahyo sikuwa na mpango na mwanamke maana nilijiona sina thaman na siwezi pendwa na mwanamke
Sasa kuna dada mmoja ana office mtaani akaniomba nimshikie maana alipata changamoto za kiafya pale ndo nikaanza kushika visenti kidogo na nguo nilizonunua kwa hela za boom nikaanza kuzivaa
Ndani ya mwezi mmoja nikawa smart kidogo na nguvu za kiume zikarudi
Na huyu demu tulianza kazi mwezi mmoja office zilikuwa jirani, sikuwahi kuwaza kama atakuja kuwa demu wangu maana ni mzuri sana
Baada ya wiki kadhaa tukazoeana ndo akaanza kuonesha dalili za kunipenda ikanibidi nijaribu bahati
Siku hiyo hiyo alinikubalia na kaniambia tangu siku ya kwanza alivyoniona alinipenda. Ndo mahusiano yalivyoanza

Sasa tangu tuanze mahusiano kuna namba alikuwa anaongea nayo sana na anachat nayo inaonesha kama ni wapenzi nikimuuliza ananiambia ni kaka yake na kwenye chat anamwita bro
Nikimuuliza yupo wapi anasema sehemu ya mbali na tulipo, nikamwambia kama ni bro wako kweli basi utakuwa unatiana na ndugu yako aisee ugomvi ulikuwa mkubwa eti namsingizia vitu vibaya kama hivo
Siku nyingine nikakuta msg anaambiwa akachukue nyama kwa jamaa wa kitaa pale huwa anachoma nyama nikamuuliza hii msg vp mbona ulisema huyu bro wako yupo mbali nyama ya nini tena akanipanga amepiga simu kwa mchoma nyama na katuma hela nikapotezea
Kuna kipindi huyu demu alipata mchongo wa kwenda mkoa mwingine ila ulifeli hatua za mwisho nikafuma msg anamwambia waonane leo amuage ampe mara moja nikamuuliza unaenda kumpa nn na mbona ulisema yupo mbali akajitetea kwamba kuna simu alitaka akampe na alikuja kusalimia nikapotezea
Sasa hatukonana kama wiki hivi nilisafiri kufuatilia mchongo nikamuibukia anakofanya kazi bila taarifa nikakutana na hii conversation iliyofanya nianzishe huu uzi (nahisi hakufuta kwasababu alijua sipo)
Jamaa: Leo show tunaenda kupiga wap

Demu: Na hili baridi itakuwa hatari

Jamaa: Na M... ameoa kaweka mke ndani sijui tutaenda wap

Demu: ha ha ha ha

Mshikaji: ngoja nicheck ramani nitakuambia

Demu: poa we check raman

Alivyoona nimesoma kitu kibaya akaanza kuniambia najua umesoma msg umezielewa tofauti nikamwambia nieleweshe vizuri akajitetea kwamba huyo ni bro wake ila huwa wanautani wa kijinga kama huo
Na kama sio utani wangeendaje kufanya mapenzi na yupo period na kwenye conversation sikuona amemwambia kuwa yupo period na mm aliniambia yupo period ikabid nihakikishe nikakuta kweli yupo

Hatua iliyofuata nika icheki jina halopesa kumbuka toka mwanzo niliamua kuchukulia easy sikutakaga ata kumjua huyo bro wake
Jina lilikuja la mtu ninayemjua ni wa kitaa apa apa na ni mtu wa karibu sana wa wazazi wa huyo binti na jamaa kaoa mwezi wa 11/2021

Kwa utetezi huo aliotoa ni nimeshindwa kumwelewa ninajua kabisa ana mahusiano na huyo jamaa na ni mahusiano ya siri kwasababu jamaa yupo karibu na wazazi wa huyo dogo
Nilimwambia kuanzia leo mm na ww basi nikataka kuondoka akanikaba kwa nguvu anapiga magoti anaomba msamaha na kulia nikaona atanijazia watu nikawa mpole nikakaa nikijikausha kama nipo OK Kajieleza sana but hamna nilichoelewa but kakataa kata kata kwamba hawapo kwenye mahusiano
Muda ulivyofika tukaachana m nikarudi maskani
Sasa kipindi tupo kwenye mahusiano alikuwa anaonesha yupo very proud na mm, mtaani pale watu wanajua mm nipo nae hadi dadake na mamake wanajua
Saiz anatuma msg nasoma na kufuta

N.B
Kwa wale ambao hamsomi msg za wapenzi wenu na mm nilikuwa hivyo mwanzoni ila nilianza kusoma baada ya yeye kung'ang'ania simu yangu muda wote ikiingia tuu msg anakimbilia kuisoma na uzuri sikuwa na mpenzi tofauti ya yeye
Huyo bro si umesema kaoa? Nenda nawe kamle mke wake. Hapo itakuwa ngoma droo aka GG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom