The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 2,453
- 4,454
Kama ukifanya uchunguzi utabaini kwamba Mwanamke huwa mwenye kunufaika zaidi na mahusiano/ndoa kuliko mwanaume.
Ukizingatia mafundisho ya kidini ambaye huwa mwenye kunufaika zaidi na ndoa ni Mwanamke sio mwanaume kwa kuzingatia kwamba wajibu wa mwanaume katika familia ni kama ifuatavyo
-Kuhakikisha mke,watoto na watu wanaomtegemea mwanaume wanakula vizuri,wanavaa vizuri,wanapata matibabu,wanapata usalama,wanapata gharama za usafiri kutokana na jasho la mwanaume.
-Ni wajibu wa mwanaume kumlinda , kumheshimu, kumtunza mke na watoto wake pamoja na watu wote ambao wanamtegemea ikiwemo wazazi wake.
-Ni wajibu wa mwanaume kusimamia nidhamu ya mke, na watoto ndani ya familia yake,na ikiwemo kuwafundisha maadili mema.
-Ni wajibu wa mwanaume kumuongoza mke,na watoto na watu wote ambao wanamtegemea
-Ni wajibu wa mwanaume kuhakikisha anamtosheleza mke wake kimwili
-Ni wajibu wa mwanaume kumlinda , kumheshimu, kumliwaza mke wake.
-Ni wajibu wa mwanaume kulinda heshima ya familia yake,ni wajibu wa mwanaume kuweka mipaka kuzuia migogoro ya kifamilia baina ya mama mzazi wa mwanaume na mke wake,pamoja na kuweka mipaka baina ya dada zake dhidi ya mke wake.
-Ni wajibu wa mwanaume kumpa onyo mke wake kwa lugha ya heshima sio kufoka,kutukana, kumshutumu, kumdhalilisha, kumdhihaki mke wake.ni wajibu wa mwanaume kutenda haki na usawa pamoja na kufanya uadilifu kwa mke wake ikiwemo kuepuka kufanya upendeleo iwe kwa mama yake mzazi au dada zake au mke wake au watoto wake badala yake atende HAKI bila kujali hisia alizonazo kwa mama yake mzazi, au dada zake, au mke wake,au watoto zake.Ni wajibu wa mwanaume kusimama kama kichwa cha familia.
kwa kuzingatia mafundisho ya kidini ni wazi kwamba kazi ya mwanaume kwenye familia ni ngumu sana kuliko kawaida.
Je ni wanaume wangapi kati ya 10 wanaweza kutimiza wajibu wao ipasavyo kama ilivyoandikwa hapo juu?
Ndiyo maana baadhi ya wanaume hugeuka watu wa upinde kwa sababu kuwa mwanaume ni kazi ngumu sana.
Sasa tuje kwenye hoja yangu.
Kwanini mahusiano huwa yenye kumnufaisha Mwanamke zaidi kuliko mwanaume ?
MWANAUME AMEUMBWA KWA AJILI YA KUJITOA MHANGA KWA WATU WENGINE
-Mwanaume anatumia muda mrefu sana kutafuta fedha ili kuhakisha familia yake inakula,inavaa,wanapata fedha za matibabu, wanapata gharama za usafiri,wanapata nyumba ya kuishi.Hivyo mwanaume anatumia muda mchache sana akiwa na familia yake .
kutokana na kutumia muda mrefu sana kutafuta fedha ili kuhakisha familia yake inaishi vizuri,watoto hutumia muda mrefu sana wakiwa na mama yao.Lakini pamoja na kuwa chakula, mavazi, malazi, matibabu, usafiri,ada za shule anatoa baba bado watoto wakiwa wakubwa mtu pekee ambaye watamsaidia sana na kumjali ni mama yao bila kujali baba yao alikonda, kukopa, kudhulumiwa, kudhalilishwa hadharani,kupigwa, kugombezwa, kukaripiwa, kutolewa dosari za muonekano akiwa kazini ili watoto zake na familia yake ipate chakula, matibabu, usafiri,ada na nyumba ya kuishi.
-Kitu pekee ambacho mwanaume ananufaika nacho kwenye mahusiano ni kukutana kimwili na mwanamke wake sio vinginevyo.Ukifanya uchunguzi utabaini kwamba Mwanamke anahitaji mambo mengi sana kutoka kwa mwanaume kuliko mahitaji ambayo mwanaume yupo nayo kwa Mwanamke.
Mwanamke anahitaji chakula,mavazi, malazi, matibabu, usafiri,simu,pedi, mapambano,kuridhishwa kitandani n.k na endapo atakosa chochote baina ya hivyo hapo juu lawama atabeba mwanaume wake.Lakini mwanaume kitu pekee ambacho anapata kutoka kwa Mwanamke ni kukutana naye kimwili tu.
Watoto huwa na faida zaidi kwa mama yao kuliko baba yao hata kama wamesoma ,kula,kuvaa, kusafiri,kulipiwa ada na baba yao.
-Kuhusu kupika, kufua, kufanya usafi wa nyumba, kutandika kitanda n.k haya ni mambo ambayo Mwanamke huwa anafanya hata akiwa anaishi nyumbani kwao au akiwa anaishi kama "Single mother".
-Mwanaume anaweza kufanya uwekezaji mkubwa sana ikiwemo kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumnunulia zawadi za gharama, kumjengea, kumsomesha, kuwasomesha watoto ambao Mwanamke ametelekezwa nao, kumchukulia mkopo, kumpa mtaji n.k kwa lengo la kuhakikisha wanadumu pamoja na mwanamke wake lakini punde tu hisia za Mwanamke zikibadilika tu uwekezaji wote ambao mwanaume anakuwa amefanya huonekana hamna kitu na Mwanamke anaweza kuondoka kwenda kwa mwanaume mwengine bila kujali jasho la mwanaume ambalo amefanya uwekezaji kwake.
-Mwanaume anaweza kukonda , kupauka, kutembea kwa miguu umbali mrefu sana,kunuka jasho ili kumfurahisha Mwanamke wake lakini mwanamke wake anaweza kuingiza wanaume chumbani anapolala na mume wake muda ambao mwanaume yupo kazini kwa sababu tu Mwanamke anajisikia upweke kukaa pekeake muda mrefu.
-Ni rahisi kwa Mwanamke kuwaambia watoto wake kwamba baba yao hatulii nyumbani kwa sababu yupo busy na mahawara zake kuliko baba kwenda kushitaki kwa watoto kusema mama yao anaingiza mabwana nyumbani kwake muda ambao yeye yupo kazini.
MAMBO YA KUZINGATIA
Ikiwa mwanaume atasimama ipasavyo kwenye kutekeleza majukumu yake ipasavyo ni wazi kwamba mtu ambaye anakwenda kuteseka sana kwenye mahusiano huwa ni mwanaume kuliko Mwanamke.
-Mwanaume anapoamua kuoa huwa anaongeza mzigo wa majukumu kwake lakini kwa Mwanamke inakuwa kupata unafuu wa maisha.Ndiyo maana mwanaume anapokuwa hana kazi yoyote ya kuingiza kipato huwa anachelewa kuoa.Lakini Mwanamke anaweza kuchelewa kuolewa kwa sababu hajapata mume wa HADHI yake.
-Mwanaume akipoteza chanzo chake cha FEDHA,muda huohuo mapenzi yanakufa papohapo na Mwanamke huanza utaratibu wa kuondoka bila kujali uwekezaji mkubwa sana ambao mwanaume aliufanya kwa Mwanamke kipindi ambacho mwanaume alikuwa vizuri kiuchumi.
-Haijalishi mwanaume atampeleka Mwanamke wake Dubai,amfungulie biashara, kumtafutia kazi, kumjengea, kumsomesha, kuwasomesha wadogo zake mwanamke, kuwafungulia biashara ndugu zake mwanamke, kumchukulia mkopo Mwanamke, kuandika majina ya Mwanamke kwenye mali ambazo Mwanamke hajachangia hata senti tano bado uwezekano wa mahusiano kuvunjika ghafla pale ambapo mwanaume atapoteza chanzo chake cha FEDHA upo palepale..Faraja pekee ambayo mwanaume anatakiwa kuitegemea ni kazi yake tu sio mwenza wake au watoto wake.Kwa sababu mwanaume akiwa mzee tu watoto hutumia muda mrefu sana kumjali sana mama yao kuliko baba yao hata kama mafanikio ya watoto hao yametokana na jasho la baba yao.Vilevile mwanaume kama hana kazi yoyote ya kuingiza kipato HESHIMA yake inatoweka kwenye jamii na familia yake.Mwanaume ambaye asiekuwa na kazi huitwa Dume suruali bila kujali ni mpole, mstaarabu, mnyenyekevu, muadilifu,n.k
-Kazi huwa ndiyo mkombozi pekee na faraja pekee kwa mwanaume sio Mwanamke wala sio watoto.Mwanaume akiwa tegemezi kiuchumi ataishi kwa kudhalilika haijalishi aliwahi kujitoa mhanga kusaidia watu wengi sana kwenye jamii.
-Mwanaume ambaye hana kazi huonekana takataka, huonekana bwege,hudharaulika ukweni bila kujali wema ambao ameutanguliza alipokuwa na hali nzuri sana ya kiuchumi.
-Mwanaume anatakiwa kulinda kazi yake kuliko mahusiano yake kwa sababu hakuna mahusiano ambayo yanaweza kudumu kama mwanaume hana kazi.Heshima ya mwanaume haipo kwenye wema wake kwenye jamii bali kazi yake.Bora mahusiano kuvunjika lakini sio kupoteza kazi.
-Mwanamke anaweza kufanya vituko vya mara kwa mara ili kupima upendo wa mwanaume wake lakini kwa mwanaume ambaye kipaumbele chake ni kazi hawezi kujitesa kuhangaika na drama za Mwanamke.
-Mahusiano yanapovunjika chenye kumtesa sana mwanaume ni uwekezaji mkubwa sana ambao aliufanya kwenye mahusiano badala ya kufanya uwekezaji mkubwa sana kwenye kazi zake.
-Mahusiano huvunjika papohapo punde tu mwanaume anapopoteza kazi bila kujali uwekezaji ambao mwanaume anaweza kuufanya kwenye mahusiano hayo.
-Mwanaume akitaka kuanzisha mahusiano kitu cha kwanza kuulizwa huwa ni kazi yake na endapo akipoteza chanzo chake cha FEDHA mahusiano huvunjika papohapo bila kujali jasho lake kwenye mahusiano hayo.
-Sio hulka ya Mwanamke kumhudumia mwanaume.Ikitokea mwanaume amepoteza kazi yake au chanzo chake cha FEDHA lazima atadhalilika sana mbele ya mwenza wake.Kwa wanawake wengi kama mwanaume hana kazi yoyote ya kueleweka mapenzi yanakufa papohapo.Ni rahisi sana kwa mwanaume kuona anapendwa sana kipindi akiwa na kazi nzuri lakini punde tu baada ya kupoteza kazi mapenzi yanakufa.Mapenzi hayatabiriki wala hayana bima hivyo linda kazi yako ndiyo itakuwa faraja pekee muda si mrefu.
haya yapo ndani ya kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI.
#Spirit_Warrior
#Wounded_Healer
🤺🤺
Kama tatizo lako ni kubwa zaidi tunaweza kuwasiliana kwa ajili ya Counselling session na ufafanuzi wa kilichoandikwa hapo juu na utaona mabadiliko na kujisikia nafuu ndani ya muda mfupi baada ya mazungumzo.(Counseling kwa njia ya simu gharama Tshs 30000 , kuonana uso kwa uso Tshs 40000
Kwa wapenzi wa kusoma vitabu unaweza kupata nakala zangu orodha ipo chini 👇
Kupata kitabu cha
1.JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI - (Softcopy Tsh 30000)
2.UTULIVU WA AKILI KIPINDI KIGUMU (Softcopy)
3.FIKRA ZAKO FURAHA YAKO (softcopy)
4.TIBA YA MSONGO WA MAWAZO (by & Softcopy)
5.MALEZI YA UBONGO KISAYANSI( hardcopy & softcopy)
6.TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA (Hardcopy & softcopy)
7.MISINGI 10 YA FURAHA SIKU ZOTE (hardcopy &softcopy)
8.BADILI FIKRA ZAKO BADILI MAISHA YAKO
BEI Kitabu kimoja softcopy 5000 isipokuwa kitabu namba 1 bei yake ni Tsh 30000, hardcopy moja 10000
Mawasiliano
+255766862579
+255622414991
Imeandikwa na Psychologist
Said Kasege
Temeke,Dar es salaam