17 Aprili 2025
Goma, Jimbo Kivu ya Kaskazini
DR Congo
KUTOKA OFISI KUU ZA M23 MJINI GOMA
View: https://m.youtube.com/watch?v=8ejxs6ue7D0
Katika mahojiano haya ya kipekee, Corneille Nangaa, Mkuu wa Muungano wa Mto Kongo akiwa katika Ofisi za Kikundi cha M23 mjini Goma akielezea malengo yao ya kisiasa na kijeshi, akitaja hali iliyofeli ya serikali (Failed State), udikteta wa Kinshasa, utawala mbovu, na ubaguzi wa kikabila kama sababu kuu za vita vyao katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Nangaa amesisitiza maono yao ya kubadilisha DRC kuwa nchi ya asali na maziwa iliyo ya kisasa yenye amani, mazingira rafiki ya kibiashara na kueleza nia ya mazungumzo, huku akikosoa undumakuwili wa jumuiya ya kimataifa na kukataa kwa serikali ya Kinshasa kufanya mazungumzo..
Historia ya Congo ilitengenezwa mwaka 1885 kule Berlin Germany wakati wakoloni walipojitwali mapande ya ardhi ya barani Afrika na sisi tukajikuta katika Free Congo State iliyobuniwa iwe nchi maalum kwa biashara. Tunataka Congo iwe sasa ni ya wa Congomani wote na pia kimbilio la yeyote mwenye mapenzi mema kufanya biashara asisitiza kiongozi huyo wa M23.
Pia Corneille Nangaa asema wanaoitaja Rwanda kuwepo Congo kwanini hawataji majeshi ya mataifa mengine yaliyopo ndani ya Congo kutoka Burundi, Malawi, South Africa, South Sudan, Tanzania na Uganda bila kusahau mamluki kutoka Romania, askari wa UN ambayo sote tunajua yapo ila ya Rwanda sijawahi kuyaona..
Corneille Nangaa anasema tayari hapa katika maeneo yalio chini ya M23 tumeweka mifumo ya kifedha inayokaribiana na mfumo rasmi wa kibenki ili mambo yaende kama yalivyo katika mataifa mengine ...
In this exclusive interview, Corneille Nangaa, Head of the Congo River Alliance outlined their political and military objectives, citing failed state conditions, dictatorship, poor governance, and ethnic discrimination as key motivations for their fight in the Democratic Republic of Congo.
He emphasised their vision of transforming the DRC into a peaceful, business-friendly modern state and expressed willingness for dialogue, while criticizing the international community’s double standards and the Kinshasa government's refusal to negotiate.