Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 920
- 1,386
Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana,
Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa nchini kuelekea General Election October.
Maswali yakawa ivi;
Suddy: Askofu unashutumiwa kuchanganya Dini na siasa mpaka wengine wanakuchukulia mwana harakati haswa kwa Maoni unayotoa katika majukwaa mbali mbali ikiwemo mitandao, Je unazungumzia vipi Hilo?
Askofu Bagonza; Nisipochanganya Na siasa nichanganye na Nini? Maharagwe? 🙂
Akasema " kama mwananchi ninaruhusiwa kuzungumzia siasa popote pale hata kanisani isipokuwa ninapokuwa nahubiri pale juu kwenye mimbari."
Suddy; Baada ya kicheko kidogo. Swali, Vyama vya upinzani vimekuwa na hoja hizo hizo tangu uchaguzi wa 1995 je Kuna mpango gani ikiwa hoja za 1995 hazifanyiwi kazi mtaendelea kupiga kelele?
Dr Bagonza: Hakuna chama tawala kule nchini kwetu Tanzania vyama vyote ni upinzani, (Suddy kwa mshangao) kwa vipi Askofu? Bagonza anajibu, nchi inaendeshwa na Dola sio chama chochote hata CCM wako chini ya hiyo.
Dola ndio inaamua nani asikizwe maoni yatolewe au lah.
Suddy; Lakini Kuna wakati ulikuja Tena Hapa Ujerumani kama watafuta hifadhi mkidai usalama wenu ilikuwa wa hofu na mashaka vipi wakati hii?
Dr Bagonza: Kweli hali imekuwa nafuu pia Falsafa ya 4R ilikuwa na Nia nzuri lakini naona Kuna watu hawakuielewa Nia ya Mhe.Rais wanaivunja.
Suddy; kwahiyo Rais anaburuzwa?
Askofu; "siwezi kusema anaburuzwa lakini wasaidizi na watekelezaji waielewe vyema itaondoa utekaji, kupokea maoni, na kuyafanyia kazi. Pia yeyote atakaeweka sawa mifumo ya uchaguzi atakumbukwa vizazi vingi kama baba wa Taifa, au zaidi ila kwa Hali hii tunaenda uchaguzi hewa, na kupoteza muda, pia amesikika kiongozi akisema CCM itakaa madarakani mpk yesu arudi mara ya pili, hapo ni kusema milele maana haijulikani yesu atarudi lini"
Mchana mwema politicians,Play safe.