Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 9,644
- 15,143
Hajielewi hata anachosema.
Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas.
Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa naye.Wamesema hiyo ni ndoto.
Kuna kitengo kimeundwa kurahisisha wapalestina wahamishwe Gaza bila kutaja sharti ni iwapo Hamas watakataa kusalimisha silaha.Maana yake ni kuwa matakwa hayo ya mayahudi hayahusiani na Hamas.Mahmoud Abbas anataka wapelekwe wapi.
Tangu kukaa kwake madarakani mbona hajasaidia kuachiwa hata mfungwa mmoja kinyume na maelfu wa ukanda wa magharibi aliko yeye walivyoachiwa kwa msaada wa Hamas.
Mzee amekuwa mzee asiye na hekima na aliyetoka nje ya matakwa ya akina Yasser Arafat