WAZAZI wengi wanatamani kuwa na watoto wenye afya nzuri kimwili na akili. Ili mtoto aweze kukua vizuri kiafya ana mahitaji mbalimbali kutia ndani lishe na mapumziko ya kutosha.
Mahitaji ya Mtoto Kilishe Yakoje?
Umri hadi Miezi 6
Nyonyesha mtoto wako mara nyingi kadri mtoto anavyotaka mchana na usiku si chini ya mara 10 kwa saa 24. Usimpe chakula au vinywaji vingine.
Soma zaidi hapa => Mahitaji ya Lishe na Usingizi kwa Mtoto! | Fikra Pevu