Mahesabu ya makato ya kodi kwenye mshahara

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,699
4,115
Habarini wakuu?

Naomba thread hii iwe maalumu kwa kucalculate makato ya kodi na mifuko ya jamii kutokana na kiwango cha mshahara unaoupata serikalini na sekta binafsi...

mfano: Tshs.900,000 basic salary nakatwa kodi ya Tshs. ngapi? msaada katika hili.
 
Type your monthly pay after deducting PPF, NSSF or PSPF Contribution,
Then click on the "calculate PAYE" button to find your monthly Income Tax payable.​
Salary Amount PAYE

PAYE Calculator for Tanganyika
 
Base pay: 900,000
Less NSSF 10℅: 90,000
TAXABLE PAY: 810,000
Tax: 103,800 + 30% of amount exceeding 720,000: 130,800
Total deductions: 220,800
Net pay: 769,200.

So the answer to your question is that, with the basic pay of TZS 900,000 the payable tax (PAYE) is TZS 130,800.

Pangu Pakavu
 
Mkuu check vzr I think ni 105,700+30%
 
Base pay: 900,000
Less NSSF 10℅: 90,000
TAXABLE PAY: 810,000
Tax: 103,800 + 30% of amount exceeding 720,000: 130,800
Total deductions: 220,800
Net pay: 769,200.

So the answer to your question is that, with the basic pay of TZS 900,000 the payable tax (PAYE) is TZS 130,800.

Pangu Pakavu
sijaelewa hapa
 
sijaelewa hapa
vp kwa mtu mwenye basic salary 981,000 na anachangia asilimia 10 nssf? anatakiwa kuchukua take hom kiasi gani?

Basic 981,000
NSSF 98,100
Taxable income 882,900
PAYE = 103,800+30%(882,900-720,000)=152,670
Total deductions = (152,670+98,100)=250,770
Net pay = Basic pay - Total deduction = 981,000-250,770 = 730,230
 
Basic 981,000
NSSF 98,100
Taxable income 882,900
PAYE = 103,800+30%(882,900-720,000)=152,670
Total deductions = (152,670+98,100)=250,770
Net pay = Basic pay - Total deduction = 981,000-250,770 = 730,230

wakuu vp kuhusu NHIF?,,
 
wakuu vp kuhusu NHIF?,,

SIJAONA N.I.H.F na Chama cha wafanyakazi (Trade union) endeleeni Kufyeka hela hiyo aisee!

.......
PAYE. 130,800
Other deductions:
Loan recovery (CRDB): 120,000
NHIF. 20,000
Trade Union. 45,000
Mutual fund: 100,000

TOTAL DEDUCTIONS. 415,800
NET PAY. 394,200. ( ambayo nahakika hukatizi wiki 2)
 
Huo mshahara nilianza nao kwenye ajira yangu ya kwanza,, nilikuwa na gross ya 900,000/= na net salary yangu nilikuwa napata 660,000/=
 
kama mtu yupo serikalini mfuko wa hifadhi ni asilimia 5% kwa mwajiriwa na 15% kwa mwajiri N.H.I.F ni asilimia 3% ya Basic salary, Trade Union ni asilimia 2% ya Basic salary.. endelea kukokotoa..
regards
Keng'oni
 
Upo sahihi kabisa, nashangaa wakokotoaji wote wamekokotoa NSSF deduction 10% as if inatumika kwa Wafanya kazi wote,

Ukweli ni kwamba watumishi wa umma wanachangia 5% kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii (PSPF, LAPF, GEPF etc) na mwajiri anawaongezea 15% ili kutimiza 20% kinyume na watumishi wa sekta binafsi ambao huchangia 10% na mwajiri 10% ili kutimiza 20%!!!
 
Habarini wakuu?

Naomba thread hii iwe maalumu kwa kucalculate makato ya kodi na mifuko ya jamii kutokana na kiwango cha mshahara unaoupata serikalini na sekta binafsi...

mfano: Tshs.900,000 basic salary nakatwa kodi ya Tshs. ngapi? msaada katika hili.

Basic 900,000
NSSF TOA KWANZA (90,000)
INABAKI 810,000
HII NDO TUNAKUGONGA PAYE 130,800
NYUMBANI UNACHUKUA 679,200

HAKUNA UBISHI..
MADA
IFUNGWE PLZ
 
Basic 900,000
NSSF TOA KWANZA (90,000)
INABAKI 810,000
HII NDO TUNAKUGONGA PAYE 130,800
NYUMBANI UNACHUKUA 679,200

HAKUNA UBISHI..
MADA
IFUNGWE PLZ

Kuna chama cha wafanyakazi kama TUICO, COTWU etc nao wanakata chao... mi nilikuwa na hiyo gross, net nilikuwa napata 660,000 /=
 
Back
Top Bottom