Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 6,712
- 10,907
Kalenda ya Mahakama kwa mwaka 2024 ilianza rasmi tarehe 1/ 02/ 2024 na inatarajiwa itaisha pengine Desemba 15/ 12/ 2024.
Mahakama ya Rufani wametoa ratiba ya kesi za Februari 2024 peke yake. Halafu itakapofika mwishoni mwa mwezi Februari watatoa za mwezi Machi.
Huku chini kuanzia Mahakama za Mwanzo, Wilaya, Mkoa hadi Mahakama Kuu walalamikaji na walalamikiwa wote wanajua kesi zao zitasikilizwa lini au zitatajwa lini.
Kitendo cha Mahakama ya Rufani cha kutoa ratiba za session za mwezi mmoja mmoja kinaacha sintofahamu kubwa sana kwa walalamikaji au waleta maombi. Maana unakuwa umepeleka kesi yako na hujui itasikilizwa lini.
USHAURI:
Kutokana na maendeleo ya TEHAMA hususan Taasisi ya eGA, Mahakama ya Rufaa inaweza ikatoa ratiba ya sessions zote za mwaka mzima pale msimu wa Mahakama unapoanza.
Wataalamu wa Mahakama njooni hapa