singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Mdogomdogo tunakuja kwa mzee wa richmondUjinga, mahakama ya mafisadi ya nini wakati bado wengine wana immunity.
Kama Rais kafanya ufisadi na ana kinga. is non sense
Mnapanga kulipa visasi tu
Huwezi kufurahia utekelezaji,umezoea blah blah....kuna mambo ni bora ukae kimya.Mahakama ya mafisadi kwa sheria zilezile! Waseme wameongeza vyumba vya mahakama tui
Zile zile zipi? Hebu tuainishieMahakama ya mafisadi kwa sheria zilezile! Waseme wameongeza vyumba vya mahakama tui
Ni kweli kabisa, bila kusahau EPA, MEREMETA, KAGODA, KIWILA COAL MINE, RADAR, IPTL, ESCROW, LUGUMI, DARAJA LA DAU, MABEHEWA FEKI, KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM, UDA, ...Mdogomdogo tunakuja kwa mzee wa richmond
Mahakama ya mafisadi kwa sheria zilezile! Waseme wameongeza vyumba vya mahakama tui
Hakuna cha utekelezaji zaidi ya kuwagelesha watanzania tu, kama upo na ufahamu wako vizuri jiulize kwanini katiba pendekezwa ya wananchi ilipigwa chini?Huwezi kufurahia utekelezaji,umezoea blah blah....kuna mambo ni bora ukae kimya.
Zile zile zipi? Hebu tuainishie
Ziainishe.....maana tunaona kina sioi wakipelekwa mahakamaniZile zile zilizoshindwa kuwawajibisha mafisadi miaka nenda rudi hadi Leo jiii...
Rada mkuu umesahauNi kweli kabisa, bila kusahau EPA, MEREMETA, KAGODA, KIWILA COAL MINE, RADAR, IPTL, ESCROW, LUGUMI, DARAJA LA DAU, MABEHEWA FEKI, KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM, UDA, ...
Mzee wa Richmond aliyetajwa na Lissu ana kinga kwa taarifa yako.Mdogomdogo tunakuja kwa mzee wa richmond