Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 552
- 719
Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha Khan amesema ushahidi bado unaendelea kukusanywa ili kuwabaini pasipo shaka wahusika wote waliohusika na uhalifu wa kivita nchini DRC ili hati ya kukamatwa na kushitakiwa iweze kutolewa tayari kwa mashauri ya kisheria katika mahakama hiyo, Mwendesha mashitaka Mkuu ameyasema hayo alipokutana na Rais wa DRC Felix Tshisekedi mapema leo.