OUT wapo kaka miaka mitatu tuMay the best man win but I wish I could be a learned colleague. Ningempigia.........
Sijaelewa, mbona Azam Tv wametangaza umesimamishwa? Maamuzi ya lini ?
Mahakama Kuu Tanzania imekataa kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika hadi kesi ya msingi ikisikilizwa
Source: Azam TV
Ukiona Mwanga wa radi LAZIMA utasikia muungurumo wake.....Lissu chanja mbugha....Itafute TLS ya KWELI. Baada ya ushindi, Usisahau "kupandisha" Ilboru "kuisalimia" shule yako.......
.....habari njema kwa wapenda Haki