Magwiji wa MMU mje mjibu hii swali

Kazi ya moyo ni kusukuma damu kupenda ni kiherehere chako....
 
Mapenzii ni dhahania hayapimiki kwa vipomo vya kisayansii wala huwezi kuyachora, ni hisia zaidi na wala hayako common
 
Kama kazi ya moyo ni kusukuma damu na sio mapenzi,, hv moyo wa huruma,, upole,, upendo,, ujasiri,, uvumilivu ni upi
 
kuna hiace imeandikwa: KAZI YA MOYO NI KUSUKUMA DAMU, KUPENDA NI KIHEREHERE CHAKO
 
Kama kazi ya moyo ni kusukuma damu na sio mapenzi,, hv moyo wa huruma,, upole,, upendo,, ujasiri,, uvumilivu ni upi
Moyo huo huo una uwezo wa kutanuka damu mwendo kasi (pressure) ukizidi, unauwezo wa kutuliza mapigo, una uwezo wa kufanya kazi siku kila sekunde, dakika, masaa 24/7 kwa siku 365 tangu unazaliwa mpaka siku uhai unapokutoka.
 
mapenz ni hisia. Ww hujaona mtu huyo huyo unampenda sana halaf unakuja kumchukia sana.
Ni sawa na hasira, tamaa n.k
 
Umuhimu wa moyo, kaz ya moyo, mfumo wa moyo na kila kitu cha moyo ndo maana ya Love na Love ilpo,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…