HATUA ya Rais John Pombe Magufuli kumtimua kazi Charles Kitwanga, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi imeibua maswali,
Miongoni mwa maswali hayo ni pamoja na kwamba, Rais Magufuli anachukia zaidi pombe kuliko ufisadi? Ni kwa madai hukumu ya pombe imepewa kipaumbe zaidi juu ya mtuhumiwa zaidi ya harufu ya ufisadi anaotuhumiwa nao.