MAGUFULI: timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu nchini Congo yaitwa Magufuli

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
10,835
25,990
Huko Congo drc team Moja za ligi kuu ziliokuwa ziki itwa dcmp ime badilisha jina na kuitwa FC magufuli, kumbe jembe kakanya kazi ngumu sana, basi kapumzike kwa Amani sana

USSR
 
Attachments

  • FB_IMG_1724751086529.jpg
    FB_IMG_1724751086529.jpg
    53.5 KB · Views: 4
Huko Congo drc team Moja za ligi kuu ziliokuwa ziki itwa dcmp ime badilisha jina na kuitwa FC magufuli, kumbe jembe kakanya kazi ngumu sana, basi kapumzike kwa Amani sana

USSR
Itakua sukuma gang hawa.
 
Huko Congo drc team Moja za ligi kuu ziliokuwa ziki itwa dcmp ime badilisha jina na kuitwa FC magufuli, kumbe jembe kakanya kazi ngumu sana, basi kapumzike kwa Amani sana

USSR
Wadanganye hao hao walio wavivu kufatilia. Hakuna team kama hiyo league 1 congo
 
Huko Congo drc team Moja za ligi kuu ziliokuwa ziki itwa dcmp ime badilisha jina na kuitwa FC magufuli, kumbe jembe kakanya kazi ngumu sana, basi kapumzike kwa Amani sana

USSR
Dah basi Nape na January akiona hii habari lazima waumie sana
 
Back
Top Bottom